jackline sakilu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melubo Letema

    Jackline Sakilu Ashinda Mbio za Chongqing International Marathon, huko China

    Mwanariadha wa Kimataifa, Staff Sergeant (SSgt) Jackline Juma Sakilu wa JWTZ, ameshinda leo mbio za kilomita 42 za Chongqing International Marathon, kwa muda wa saa mbili na dakika ishirini na moja na sekunde ishirini na sita (2:21:26) tarehe 24/03/2024 huko nchini China. Tukumbuke; Jackline...
  2. Melubo Letema

    Mwanariadha Jackline Sakilu Ashinda Tuzo za TASWA kwa Mwezi Februari, 2024

    Mwanariadha wa Kimataifa, Staff Sergeant (SSgt) Jackline Juma Sakilu wa JWTZ, amechaguliwa kuwa Mwanamichezo Bora wa Tanzania kwa mwezi Februari , 2024 katika tuzo zinazotolewa na chama Cha Waandishi wa habari za Michezo Tanzania (TASWA). Kushoto : Jackline Sakilu na Alphonce Simbu TUKUMBUKE...
  3. Melubo Letema

    Jackline Sakilu avunja rekodi ya taifa ya Magdalena Shauri

    Jackline Juma Sakilu AVUNJA Rekodi ya Taifa kwa sekunde 33, kwenye Mbio Ndefu za Kilomita 21, Kwa kushika nafasi ya Tatu Kwa Muda wa 1:06:04 (Half Marathon) Tarehe 24/02/2024 , Rekodi ya Taifa ambayo iliyokuwa inashikiliwa na Magdalena Shauri kwa muda (1:06:37) toka tarehe 21 February 2020...
Back
Top Bottom