Jack Zoka astaafu

Status
Not open for further replies.
Nasikia huko kwao wanamasifu sana kwan ameboresha masirahi ya wafanyakazi wengi wao wanatembelea magari
mengi yatasemwa, lakini jambo la msingi ni kumuombea maisha mema baada ya kulitumikia taifa.
 
mengi yatasemwa, lakini jambo la msingi ni kumuombea maisha mema baada ya kulitumia taifa.
Hakika Mkuu. Ni wachache sana wanafanya kazi hadi kufikia umri wa kustahafu. Tumpongeze pia kwa kujitunza na tumpongeze pia na mkewe kwani hawakuwa vicheche
 
Nasikia alikuwa mkuu wa kitengo cha siasa. Kazi yake ni nzuri sana na kila mtu atamkumbuka kwa yote aliyowafanyia Watanzania....lol!!

Pia wahanga wa jitihada zek hawatakaa wamsahau!
 
Hakika Mkuu. Ni wachache sana wanafanya kazi hadi kufikia umri wa kustahafu. Tumpongeze pia kwa kujitunza na tumpongeze pia na mkewe kwani hawakuwa vicheche

Unajuaje??
 
Unajuaje??
Kama wangekuwa vicheche kwa mtu mkubwa kama huyo lazima tungejua tu. Si unaona SLAA, MBOWE walivyo vicheche kwani imechkua muda kuwajua? Mapenzi ni kihozi kuyaficha hauwezi.
 
Kama wangekuwa vicheche kwa mtu mkubwa kama huyo lazima tungejua tu. Si unaona SLAA, MBOWE walivyo vicheche kwani imechkua muda kuwajua? Mapenzi ni kihozi kuyaficha hauwezi.

Umewaona hao tu.. Mkware Capuyah mbona humtaji??
 
ngoja nitume maombi kujaza hilo pengo faster,nirudishe imani ya watanzania kwa serekali yao..
kesi ya kwanza ntakayoanza nayo ni kuhakikisha wezi wa kuku wote wanarudi uraiani,ili nipate vyumba vya kutosha magerezani kwa ajili ya mipapa ya madawa ya kulevya,majangiri,wachumia tumbo wote wenye utajiri ulopindukia usio na detail za kujitosheleza
 
Naibu mkurugenzi wa idara ya usalama wa taifa TISS mheshimiwa Jack Zoka amestahafu rasmi katika nafasi hiyo .

Kwanini umwite mheshimiwa? Huyo ni ndugu, ukishasema mheshimiwa tayari unajenga tabaka
 
Wewe hizi habari za TISS umezipata wapi?

Tiba
 
Kwanini umwite mheshimiwa? Huyo ni ndugu, ukishasema mheshimiwa tayari unajenga tabaka

Huyu Kalanjadd inaonekana anatokea ukoo ambao kuna watu wanapenda sana kuitwa waheshimiwa. Atakuwa natokea ukoo wa Mtei.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…