Jack Zoka astaafu

Jack Zoka astaafu

Status
Not open for further replies.
Amefanyia nini watanzania cha maana, that is his legacy to this country and its citizens!!! Madawa ya kulevya, usalama wa tembo zetu, usalama wa madini yetu, usalama wa uhai wa watanzania wanaokufa vifo vya kutatanisha!!! Je alifanya kazi yake ipasavyo?
 
twamtakia mapumziko mema ya kustaafu,karibu sana mtaani ambako hakuna kusaini posho za vikao,ni full mishemishe ndo mkono uende kinywani
 
Kama Bensuda anafanya kazi yake kwa weledi basi huyu Zoka inabidi afikishwe the Hegue haraka.
 
Taarifa ni za kweli na sasa anajiandaa huenda akapata promosheni ya ubalozi nchini Venezuela namkumbuka zoka tangu yuko ubalozini ubelgiji aliporejea alikuwa chini ya mzee Magere. baadae ndio akapa hiyo nafasi.
 
Taarifa hii kama ni ya kweli basi inatoka jikoni
 
hakufanya llote kwa watanzania wa hali ya chini,alitumia nafac yake kulinda viongoz wa ccm na kudhoofisha upinzani
 
Amefanyia nini watanzania cha maana, that is his legacy to this country and its citizens!!! Madawa ya kulevya, usalama wa tembo zetu, usalama wa madini yetu, usalama wa uhai wa watanzania wanaokufa vifo vya kutatanisha!!! Je alifanya kazi yake ipasavyo?

Sidhani kama ni kipimo tosha kuwa Usalama wa Taifa hawafanyi kazi. Ninachojua mimi ni kwamba kazi yao ni kuishauri serikali na siyo kuchukua hatua. Vile vile siamini kama kuwakamata wauza madawa ya kulevya, kukamata najangili ndiyo majukumu pekee ya Idara ya Usalama wa taifa.
 
Taarifa hii kama ni ya kweli basi inatoka jikoni

Na kweli mkuu, haiwezekani watu wa kawaida tukajua kuwa kiongozi fulani ndani ya Idara hiyo nyeti anastaafu tena na siku ya kustaafu. Halafu ili iweje kwani mtu kustaafu nako ni issue siku hizi?
 
hakufanya llote kwa watanzania wa hali ya chini,alitumia nafac yake kulinda viongoz wa ccm na kudhoofisha upinzani
Kama amelinda vizuri viongozi wa ccm ambacho ndo chama tawala, well done. Hilo lilikuwa ni jukumu lake na anastahili kupongezwa kwa hilo. CHADEMA subirini muda wenu ukifika nanyi mtalindwa vizuri na idara yetu mahiri
 
wewe utakuwa ndiyo mleta mada sana sana umebadili tu ID , lazima huyo ZOKA alikuwa bosi wako na alikuwa anakuwekea kauzibe. Leo ni tarehe 25 na unasema ZOKA kastaafu tarehe 22 , mbona mapema kiasi hiki.
 
Nasikia huko kwao wanamasifu sana kwan ameboresha masirahi ya wafanyakazi wengi wao wanatembelea magari
 
Mkuu, kama ameboresha maslahi ya wafanyakazi wake, well and good. Hao ndo aina ya wafanyakazi tunaowahitaji
 
Kama amelinda vizuri viongozi wa ccm ambacho ndo chama tawala, well done. Hilo lilikuwa ni jukumu lake na anastahili kupongezwa kwa hilo. CHADEMA subirini muda wenu ukifika nanyi mtalindwa vizuri na idara yetu mahiri

mkuu huyo mleta mada atakuwa mtumishi wa TISS huko huko, nimeanza kuamini maneno ya SLAA kwamba ana maafisa usalama wana mpa taarifa. Hivi watu huwa wanalalamika kuwa TISS inatumika kuwatesa watu, si ingefaa hata huyu msaliti wao anayemwandika Bossi wake kuwa amestaafu naye achinjwe tu.
 
Kustafu ni jambo la kawaida kwa mtumishi wa umma katumikia kwa sifa zote heri kwake.
 
Sidhani kama ni kipimo tosha kuwa Usalama wa Taifa hawafanyi kazi. Ninachojua mimi ni kwamba kazi yao ni kuishauri serikali na siyo kuchukua hatua. Vile vile siamini kama kuwakamata wauza madawa ya kulevya, kukamata najangili ndiyo majukumu pekee ya Idara ya Usalama wa taifa.

great words
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom