Jack Chan the Movie

Jack Chan the Movie

PPM

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
838
Reaction score
230
Kuwa kilema haimaaishi uvunje sheria na kupiga watu hadharani
Shame on you.
attachment.php
 

Attachments

  • 11053092_847778838627704_3938946728626413542_n.jpg
    11053092_847778838627704_3938946728626413542_n.jpg
    113.3 KB · Views: 673
Kuwa kilema haimaaishi uvunje sheria na kupiga watu hadharani
Shame on you.

Huu ni udhalilishaji mkubwa wa wanawake.Tena anatakiwa kuchukuliwa sheria kabisa za kumpiga mtu.Na hawa walioona nitawashangaa kama hawatamchukulia hatua stahiki.Kama ni kiongozi hafai hata kuongoza vyura
 
  • Thanks
Reactions: PPM
kwi kwi kwi kwi kwi kwi alafu wameenda kupigania ikulu sujui kuna mmoja kamfanyia udalali mwenzie
 
Hao wote wanakabiliwa na kitisho kinachofanana, tutambue kuwa walienda/kualikwa ikulu eti wakaeleze matatizo yao kwa rais.

Mnaodhani kuna amekosa hapo kama picha inavyoonyesha namfananisha na yule afikiriaye kuwa ikitokea watu wamekufa kutokana na taharuki na kukanyagana kana kwamba kuna muuaji alimkanyaga mtu wakati wa stampede, TUWAHURUMIE NDUGU ZETU HAWA
 
Huu ni udhalilishaji mkubwa wa wanawake.Tena anatakiwa kuchukuliwa sheria kabisa za kumpiga mtu.Na hawa walioona nitawashangaa kama hawatamchukulia hatua stahiki.Kama ni kiongozi hafai hata kuongoza vyura

Ndio maana provocation ni defense kwenye sheria. Huyo dada alimprovoke jamaa hadi akaprovokika.

Dada anaongea yule hatari. Hata wewe ukiamua kushushua watu usiowajua hakikisha unakeep distance maana utaambulia mateke na sheria isikusaidie..
 
nadhani anafanya haya yote mwisho wa siku aonewe huruma kisa ni mlemavu
 
sasa si akapambane na wauwaji huko....?
 
huyu jamani ni hatari asije kumtoa mwenzie kizazi na hilo teke lake
 
Daaah.. Ila huyu mwanamke alikuwa anachonga lol.. Kumbe wakati ule alikuwa ametandikwa kick ya tumbo..!

Ukweli baada ya kuona ile chuki waliokuwa nayo jana dhidi ya wenyewe kwa wenyewe, nimegundua wanaweza hata wakauzana hawa..!

Naendelea kuiamini kauli ya Mwalimu kuwa pesa sio msingi wa maendeleo..
 
Ndio maana provocation ni defense kwenye sheria. Huyo dada alimprovoke jamaa hadi akaprovokika.

Dada anaongea yule hatari. Hata wewe ukiamua kushushua watu usiowajua hakikisha unakeep distance maana utaambulia mateke na sheria isikusaidie..

Bado haimfanyi mtu kumpiga mtu mwingine, ukiona maneno machafu yamezidi ondoka kwenye eneo la tukio italusaidia zaidi.Kupigana hadharani si heshima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom