GadoTz
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 350
- 569
Mtangazji bora kabisa wa muziki wa Hiphop kwa sasa Tanzania Jabir Saleh aka Kibonge Toz anakuja rasmi na kipindi kipya ndani ya radio ya EFM. Kipindi hicho kitaitwa Ladha 3600 ambacho kitakuwa hewani kila siku kuanzia saa 9 – 10 za jioni.
Kwa sasa naweza kusema hakuna mtangazaji wa radio kizazi hiki anaeujua muziki wa kizazi kipya na old skul especially hiphop kama Jabir. Ni mtangazaji mwenye staili ya aina yake kuanzia utangazaji, swag, uelewa na uhodari.
Nampa pongezi kwa kazi yake na tunaomba aendelee kuiwakilisha Hiphop ata huko kwenye nyumba mpya. Sisi wapenzi wa Hiphop tunakubali juhudi zako na tunakutegemea kama askari hodari na masikio yetu yapo kwako.