J.makamba umenena

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,285
9,920
Nimemsikiliza dogo JM Wakati akichangia majadala wa mpango wa maendeleo wa miaka 5 nimemkubali sana pamoja ya kuwa yupo kwenye chama chenye mitazamo na utashi wake lakini nimependezwa sana na uelewa na misimamo yake, ameonya serikali inoyoongozwa na chama chake kwa kufanya mambo kwa mazoea. "ukifanya kwa mazoea yale yale utapata matokeo yale yale yale" kuhusu elimu alisema nivema tukaangalia output au software zaidi kuliko hardware yaani serikali kuweka nguvu kubwa juu ya juzi waliopata wanafunzi badala ya wingi wa wanafunzi na majengo ya shule.
 
Wewe si ndiyo Mwamvita Makamba wewe, yule mdogo wake January? Au unataka nitoe siri za mambo yako uliyofanya huku J'burg.
 
Wewe si ndiyo Mwamvita Makamba wewe, yule mdogo wake January? Au unataka nitoe siri za mambo yako uliyofanya huku J'burg.

kheee kafanyajke tena.hebu ni pm nijulishe habari hizi za kiintelijensia
 
Wewe si ndiyo Mwamvita Makamba wewe, yule mdogo wake January? Au unataka nitoe siri za mambo yako uliyofanya huku J'burg.
Hapa ni sehemu ya ku talk openly, mmwage tu hadharani hawa mafisadi,sasa na wewe unamuogopa??hawana mpya zaidi kama unavyoona hapo kaingia anamsifie kaka yake.
 
Wandugu tuwe wazi, honestly January yuko vizuri kwenye kujenga hoja, hana jazba na anajua kujieleza. Alichangia vizuri sana leo and I actually sent him sms kumpongeza and he acknowledged. Some time huwa namfananisha na Mnyika kwenye kuchangia ILA useme mnyika vile anavyotumia mikono kuongea utafikiri anapandisha jazba.
 
Back
Top Bottom