January anawahadaa watu kuhusu bomoabomoa. NEMC iliyo chini ya ofisi take ndio kinara wa kuvunja Nyumba za watu kule mkwajuni, jangwani, kigogo na sehemu zingine za DSM.
kinachoonekana ni kwamba January anataka zoezi hilo lionekane linasimamiwa na wizara ya ardhi pekee! Inatafsiriwa hizo ni mbinu za kisiasa na woga wa kubeba lawama.
Hii ilidhihirishwa na kitendo chake cha kuwatembelea waliobomolewa na kujifanya kuwahurumia wakati ofisi yake ndio iliyowaweka nje. Kama si unafiki ni nini? Kama hataki kuhusishwa na jambo hilo basi angejiuzulu....