Izingatiwe na UKAWA haraka sana!

Izingatiwe na UKAWA haraka sana!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21,854
Reaction score
26,092
Tunawaomba wana UKAWA na viongozi wote wa UKAWA mdhibiti suala hili;

- Hakikini vituo vyote 65000 kituo kwa kituo kwa kuvikagua katika maeneo yote vilipo nchi nzima!
- Baada ya kuvikagua vipeni identity numbers vituo vyote 65000 vitakavyotumika kwa upigaji kura Tanzania yote!

Utaratibu huu utasaidia sana katika kuvichuja 'vituo batili au feki' vinavyotaka kuongezwa na wahuni wachache ndani ya mfumo.

Vituo vile ambavyo ndivyo vilivyopewa identity number ndivyo pekee vitakavyoruhusiwa kuwasilisha matokeo for special identity keys.

Ninashauri zoezi hili lianze mara moja kwa viongozi wa UKAWA baadhi yao kulikalia rohoni na kuhakiki.

Nawasilisha..
 
Logistical nightmare, ni rahisi kwa wewe kusema! kama hawajafanya haya, kwa muda uliobaki, hayawezi fanyika, alafu hofu ya kuibiwa ndo inawamaliza, mnapanga vitu vingi na complicated mpaka vile vya msingi mnaviacha!
Keep it simple guys! msipaniki!
 
Kwahiyo Nec wapokee kura kwa identity namba zenu!
Mbona mna wasi wasi sana??
 
Thegame
Elewa orodha hii NEC wanayo! ya vituo 65000.
huku ukawa ni kuvipa symbol Fulani/ KUVILIMITY.
(verify & limity)
 
Last edited by a moderator:
Nasisi hatuwaletei haraka sasa hayo majina. Hahaaaaaa
 
Logistical nightmare, ni rahisi kwa wewe kusema! kama hawajafanya haya, kwa muda uliobaki, hayawezi fanyika, alafu hofu ya kuibiwa ndo inawamaliza, mnapanga vitu vingi na complicated mpaka vile vya msingi mnaviacha!
Keep it simple guys! msipaniki!

Inawezekana kabisa.

Tena ikawa kazi ya siku mbili kama wakiamua.

Unagawa timu ya watu 10 kila kata nchi nzima.

Kila diwani ateue watu wake wa kukagua hivyo vituo then anaripoti kwa mbunge then mbunge anawasilisha majina ya vituo vyote jimboni kwake makao makuu ya chama.

Na hata ujumlishwaji wa kura mbunge kupitia diwani wanakagua jumla ya kura kwa vituo vyote walivyovikagua.

Kama kuna kituo kimeongezeka inabidi vitolewe ufafanuzi.
 
mbona nyumba na simu yako vina milango na password kama wewe huofii kuibiwa
 
Logistical nightmare, ni rahisi kwa wewe kusema! kama hawajafanya haya, kwa muda uliobaki, hayawezi fanyika, alafu hofu ya kuibiwa ndo inawamaliza, mnapanga vitu vingi na complicated mpaka vile vya msingi mnaviacha!
Keep it simple guys! msipaniki!

kuchukua tahadhari ni muhimu. CCM walishawahi kufanya Zenji huu wizi!
 
Sio kwamba NEC ipokee matokeo kwa identity ndio maana kila chama kila wana intelejensia wake na sio wa NEC kifupi hiyo iko poa sana kwani mafisiem ndo micho yao na ndo njia ya kuthibit uozoo huo
 
kuchukua tahadhari ni muhimu. CCM walishawahi kufanya Zenji huu wizi!

Kwanini wa Tz wepesi sana wa kufanya mlinganisho bila ya kufanya utafiti! Inasikitisha na kuudhi kama kitu hukijui hakuna haja ya kutolea mfano...by the way kuna nini cha kuiba toka ukawa? Hao wanaojaziwa mafuta kujaza mikutano!!!
 
Inawezekana kabisa.

Tena ikawa kazi ya siku mbili kama wakiamua.

Unagawa timu ya watu 10 kila kata nchi nzima.

Kila diwani ateue watu wake wa kukagua hivyo vituo then anaripoti kwa mbunge then mbunge anawasilisha majina ya vituo vyote jimboni kwake makao makuu ya chama.

Na hata ujumlishwaji wa kura mbunge kupitia diwani wanakagua jumla ya kura kwa vituo vyote walivyovikagua.

Kama kuna kituo kimeongezeka inabidi vitolewe ufafanuzi.

Thanks.
You have made it simple.

Diwani ahakikishe anavijua vituo vyake vyote then awasilishe kwa Mbunge ambaye atawasilisha kule National Tallying Centre...KAWE.
 
Jambo hili lizingatiwe na lipewe umuhimu mkubwa na ufuatiliaji wa hali ya juu,ukizingatia madiwani wapo bize kwelikweli hizi wiki mbili
 
Tunawaomba wana UKAWA na viongozi wote wa UKAWA mdhibiti suala hili;

- Hakikini vituo vyote 65000 kituo kwa kituo kwa kuvikagua katika maeneo yote vilipo nchi nzima!
- Baada ya kuvikagua vipeni identity numbers vituo vyote 65000 vitakavyotumika kwa upigaji kura Tanzania yote!

Utaratibu huu utasaidia sana katika kuvichuja 'vituo batili au feki' vinavyotaka kuongezwa na wahuni wachache ndani ya mfumo.

Vituo vile ambavyo ndivyo vilivyopewa identity number ndivyo pekee vitakavyoruhusiwa kuwasilisha matokeo for special identity keys.

Ninashauri zoezi hili lianze mara moja kwa viongozi wa UKAWA baadhi yao kulikalia rohoni na kuhakiki.

Nawasilisha..
mnahangaika bure tu! hivi mnaamini watanzania watanunua huu uhuni wenu. mnafikiri nyie wajanja sana wengine mafala..usaliti ushenga ukuwadi porojo utabiri wa manabii feki gwajima et al. yote hayo kuingiza fisadi dhoofu kiafya ikulu ili mkapige dili.
 
Back
Top Bottom