Izingatiwe na UKAWA haraka sana!

Izingatiwe na UKAWA haraka sana!

Tunawaomba wana UKAWA na viongozi wote wa UKAWA mdhibiti suala hili;

- Hakikini vituo vyote 65000 kituo kwa kituo kwa kuvikagua katika maeneo yote vilipo nchi nzima!
- Baada ya kuvikagua vipeni identity numbers vituo vyote 65000 vitakavyotumika kwa upigaji kura Tanzania yote!

Utaratibu huu utasaidia sana katika kuvichuja 'vituo batili au feki' vinavyotaka kuongezwa na wahuni wachache ndani ya mfumo.

Vituo vile ambavyo ndivyo vilivyopewa identity number ndivyo pekee vitakavyoruhusiwa kuwasilisha matokeo for special identity keys.

Ninashauri zoezi hili lianze mara moja kwa viongozi wa UKAWA baadhi yao kulikalia rohoni na kuhakiki.

Nawasilisha..

Kweli kabisa mkuu!!!,kwa kufanya hivyo tutakuwa tumekomesha mbinu zote chafu za wizi wa kura.
 
Jambo hili lizingatiwe na lipewe umuhimu mkubwa na ufuatiliaji wa hali ya juu,ukizingatia madiwani wapo bize kwelikweli hizi wiki mbili

asante kikonko kwa kunielewa! hili litasaidia sana pia katika kufanya tallying ya ukawa haraka sana ndani ya SAA 48 nchi nzima / kiusahihi bila aina yoyote ya vituo pandikizi kujitokeza!
 
Last edited by a moderator:

Thanks.
You have made it simple.

Diwani ahakikishe anavijua vituo vyake vyote then awasilishe kwa Mbunge ambaye atawasilisha kule National Tallying Centre...KAWE.

Na gharama inapungua ya kufanya hiyo shughuli.

Vitu vingine vinatakiwa visimamiwe na watendaji wa chini kabisa kwenye kata na mitaa.

Kazi ya kukagua vituo kwenye kata yangu inachukua saa moja na gharama haizidi hata 10,000.

Ni kazi ya kuzunguka na pikipiki au bajaj eneo lote.
 
Logistical nightmare, ni rahisi kwa wewe kusema! kama hawajafanya haya, kwa muda uliobaki, hayawezi fanyika, alafu hofu ya kuibiwa ndo inawamaliza, mnapanga vitu vingi na complicated mpaka vile vya msingi mnaviacha!
Keep it simple guys! msipaniki!
The only serious complication ni kama tume ikikataa kutoa nakala ya daftari lenye orodha ya vituo. Ikishakuwepo orodha, ni jukumu la kila mgombea ubunge na viongozi wa jimbo husika kushirikiana na wagombea udiwani katika kata na viongozi wao kuhakiki physical presence ya vituo hivyo ndani ya maeneo yao.

Baada ya kufanya hivyo inabidi kupanga kila kituo na mawakala wake. Mawakala hawa pamoja na mambo mengine litakuwa jukumu lao kuhakikisha kuwa idadi ya wapiga kura waliojitokeza siku hiyo na kupiga kura ndiyo tu inayoandikwa kituoni hapa. Nasema hivi kwa sababu si wote waliojiandikisha watakuja kupiga kura. Kama mawakala wasipokuwa makini, zile kura milioni tano zinaweza kuongezwa kituo hadi kituo hazi zote zikaisha, na bado jumla ya waliopiga kura ikawa haizidi milioni 22, say, milioni 21 wakati waliopiga kuta kikweli ni milioni 16. Kwa hiyo kuhakiki vituo na jumla ya wapiga kura waliojiandikisha peke yake haitoshi, ni muhimu KUHAKIKISHA mawakala wanakuwa imara na wazalendo ndani ya vyumba vya kupigia/kuhesabia kura.
 
Nilipendekeza nitengeze app ya android bure ili tuweze ku geotag vituo vyote ili tuzuie bao la mkono lkn wenzangu wa ukawa walikula pini. Bado nafasi ipo. App itaweza kutoa coordinates mahali kituo kilipo, kura ngapi na taarifa nyingi kadri zitakavyohitajika, zikiwemo picha, sauti na video
 
Cc: Mchambuzi
 
Hilo jambo sio la kuongea JF.. Nenda pale Makao Makuu ukawaeleze hili vizuri..
 
Nilipendekeza nitengeze app ya android bure ili tuweze ku geotag vituo vyote ili tuzuie bao la mkono lkn wenzangu wa ukawa walikula pini. Bado nafasi ipo. App itaweza kutoa coordinates mahali kituo kilipo, kura ngapi na taarifa nyingi kadri zitakavyohitajika, zikiwemo picha, sauti na video

Ya nini kujipa shida yote, fanya yako ndugu nchi ina wenyewe hii. Utaminywa ufe.
 
Thanks.
You have made it simple.

Diwani ahakikishe anavijua vituo vyake vyote then awasilishe kwa Mbunge ambaye atawasilisha kule National Tallying Centre...KAWE.

Mkuu mmesimamisha madiwani katika majimbo yote nchini? Ubunge je?
Vipi kuhusu wale waliohama maelfu mpaka kwenye shina wamehamia CCM au ACT?
Hivi mnajua mtandao wa Chadema wa 2010 ilikuwa na nguvu na operesheni kuliko network ya Ukawa ya 2015?
Sasa subiri uone kama mtaweza hata kusimamia hesabu za kura!
 
Na gharama inapungua ya kufanya hiyo shughuli.

Vitu vingine vinatakiwa visimamiwe na watendaji wa chini kabisa kwenye kata na mitaa.

Kazi ya kukagua vituo kwenye kata yangu inachukua saa moja na gharama haizidi hata 10,000.

Ni kazi ya kuzunguka na pikipiki au bajaj eneo lote.

Eti watendaji wa chini! Wengi wetu tunaishi katika maeneo ya mijini tunaona rahisi ila huko vijijini mna watu? Hebu niambie haraka kwenye ubunge mmesimamisha wagombea majimbo mangapi kati ya majimbo 264?
Je watendaji unaowazungumzia si ndiyo mliwatukana ni wasaliti walipohama wote Bunda kwa mfano? Ndiyo mmeanza kuona umuhimu wao?
 
Nilipendekeza nitengeze app ya android bure ili tuweze ku geotag vituo vyote ili tuzuie bao la mkono lkn wenzangu wa ukawa walikula pini. Bado nafasi ipo. App itaweza kutoa coordinates mahali kituo kilipo, kura ngapi na taarifa nyingi kadri zitakavyohitajika, zikiwemo picha, sauti na video

Mkuu usipate tabu. Hebu onana na ACT-Wazalendo wanaweza wakawa na msaada kwako. Huko Ukawa wote ni wapiga dili tu wamebaki.
 
Tunawaomba wana UKAWA na viongozi wote wa UKAWA mdhibiti suala hili;

- Hakikini vituo vyote 65000 kituo kwa kituo kwa kuvikagua katika maeneo yote vilipo nchi nzima!
- Baada ya kuvikagua vipeni identity numbers vituo vyote 65000 vitakavyotumika kwa upigaji kura Tanzania yote!

Utaratibu huu utasaidia sana katika kuvichuja 'vituo batili au feki' vinavyotaka kuongezwa na wahuni wachache ndani ya mfumo.

Vituo vile ambavyo ndivyo vilivyopewa identity number ndivyo pekee vitakavyoruhusiwa kuwasilisha matokeo for special identity keys.

Ninashauri zoezi hili lianze mara moja kwa viongozi wa UKAWA baadhi yao kulikalia rohoni na kuhakiki.

Nawasilisha..

Tatizo ukawa hawana wagombea katika vituo vyote.kama huna mgombea maana yake huna wakala na kama huna wakala maana yake kituo hakikuhusu
 
Back
Top Bottom