Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Eti watendaji wa chini! Wengi wetu tunaishi katika maeneo ya mijini tunaona rahisi ila huko vijijini mna watu? Hebu niambie haraka kwenye ubunge mmesimamisha wagombea majimbo mangapi kati ya majimbo 264?
Je watendaji unaowazungumzia si ndiyo mliwatukana ni wasaliti walipohama wote Bunda kwa mfano? Ndiyo mmeanza kuona umuhimu wao?
Wewe acha kuongea bila kutumia akili.
Chadema ilisimamisha wagombea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa watashindwaje kuwa na watendaji wa chini kabisa?
Kwani chadema unawaonaje? Masikini sana? Au hawana watendaji hadi chini kabisa.