Ivory room inaibiwa changanya na tembo wa mbugani

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
3,737
2,000
Huo ndo ukweli ktk biashara hii ya meno ya tembo. Tulikataliwa kuuza kihalali meno ya tembo pamoja na pembe za ndovu na CITES, Kenya ikiongoza upingaji huo.

kilichopo ni kwamba sasa tunawauzia wachina kwa njia isiyo halali. Tatizo kubwa ni kwamba pesa inayopatikana pia siyo halali na inatumika isivyo halali. Pia pamoja na uuzaji wa huo, kuna tembo wengi wanaounganishwa na uuzaji huo toka ktk mbuga zetu.

Jiulizeni kwa nini nyara hizo hazitajwi hata bungeni ili tufahamu ni kiasi gani kinaongezeka. Je pesa hizo zinapelekwa wapi? Jiulize pia kwa nini kiongozi wa nchi yuko kimya tu! Anafahamishwa kinachoendelea.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom