Ivory Coast Vs Tanzania

Ivory Coast Vs Tanzania

Anaongoza Gambia itakuwa Taifa Stars? Leo lazima kieleweke Tembo ashindwa kupanda Mlima kilimanjaro.
 
Sijui uzalendo upi maana kwenye title ni utata mtupu kwenye content napo utata mtupu....kifupi mleta mada na stress za kupigwa tano bila na wekundu wa msimbazi hivyo leo anatamani timu ya taifa ambayo inawachezaji wengi wa simba ifungwe hata 10 nadhani itafurahi sana....

Mwanangu tule updates, usintafute nikutusi bure.
 
naona pambano watu weweeeeeeeeeeee 4tvafrica sema unatakiwak ulipia
 
Huyu Kaseja anataka kutokea bado nusu agongane na Beki
 
Najua stars kufungwa ni kawaida ninachomwomba Mungu atujalie walao yawe machache
 
Chips Kuku sijui Zege mayai wa kizungu na Ugali na Mlenda ndio matokeo yake hata Ki Gevinho kinamuwekea Upaja beki wetu sio vyakula vya kula kabisa.
 
Goli la kwanza tumefungwa DAKIKA YA 11

Mhhhhh.....Hawa LiveScores ina maana wanatuzingua?

[TABLE="width: 0"]
[TR="bgcolor: #333333"]
[TD="class: title, colspan: 4"] World Cup qual. - Africa (Group C)[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #333333"]
[TD="class: match-light, width: 45"] 19:19[/TD]
[TD="class: match-light, width: 423, colspan: 3, align: right"]June 2 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #cfcfcf"]
[TD="width: 45"]
flash.gif
45'[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Gambia[/TD]
[TD="width: 51, align: center"]1 - 0[/TD]
[TD="width: 186"]Morocco[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"][/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #dfdfdf"]
[TD="width: 45"]
flash.gif
19'[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Ivory Coast[/TD]
[TD="width: 51, align: center"]0 - 0[/TD]
[TD="width: 186"]Tanzania[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom