Kuala Lumpur
Member
- Jul 28, 2017
- 20
- 19
Niliachana nae kisa ajatulia kwa kumfumania na kidume kingine eti leo ananambia anataka ajenge familia na mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
100% ukweli mtupuAmekuona wewe ndio mzembe wake.Na si ajabu ukakubali.
"pambana na hali yako" jombaaNiliachana nae kisa ajatulia kwa kumfumania na kidume kingine eti leo ananambia anataka ajenge familia na mm
Sent using Jamii Forums mobile app







Sema halafu sio alafu.Ulimfumania na kidume alafu anapata ujasiri wa kukwambia mjenge familia????
Wewe ndio tatizo