Ivi utajiskiaje???

Ivi utajiskiaje???

Donpela

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
2,040
Reaction score
592
Unakuta mtu unafunguka kuandika ujumbe, afu unajibiwa ''K'':biggrin1: 1897914_1240155149392444_561350504_n.jpg
 
Binafsi sipendi kama nini!
Maana haieleweki kwamba wana haraja sana au wako bize sana au hawajisikii kuwasiliana na wewe!!!!
Inaacha maswali mengi kuliko majibu.
 
Siipendi hyo then imetokea asubuh hii
 
K ni kei ile yenyewe...so mtu akikujibu k manake we ni maku in other words
 
Nina rafiki yangu mmoja wa kike yeye baada ya kuingia chuo na kupata company nyingine hata kuchat kukapungua.
Mie kila nkijitahidi kumaintain urafiki kwa kuchat na vitu kama hivyo, text mbili anajibu "K"
Mtu mzima nikapangusa namba yake nashangaa juzi anatuma text "Prince niazime kama 50000 kesho nakurudishia.
Hapo tuna miezi kadhaa ya bila mawasiliano.
Namie kwa mbwembwe kabisa nikajibu "K" then nikampotezea.
Inakera sana jinsia ya kike na haya majibu. Bora ukae kimya tu tujue umepotezea au upo busy umeshindwa kujibu
 
Back
Top Bottom