Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
- Thread starter
- #21
Bao lako huwezi kuacha kulijua
Anayejua baba halisi wa mtt ni mama, unaeza ukambeba ivyo ukamtawaza na kumchamba pia na still mwisho wa siku ukaambiwa so wako.
Bao lako huwezi kuacha kulijua
Evidence mkuu unazo
Ni nani aliwapiga picha?
Unaona hilo pozi ni la ukweli?
Ww ndo unatakiwa unambie coz ww ndo umesema there is no reality
Hata baba unajua bao lakoAnayejua baba halisi wa mtt ni mama, unaeza ukambeba ivyo ukamtawaza na kumchamba pia na still mwisho wa siku ukaambiwa so wako.
Hapana siwez me nitafanya we niletee pesaHehehe ata akiwa anakufanyia kaz za ndani ka ivyo miss chagga?
ajira hamna what to do nikufanya service za home....
TanteeAnyway, siyo issue.
Chukua ushindi.
Jaman kuna ubaya gan hapoBongo muvi, hawa ndio wanaume suruali original
Jaman kuna ubaya gan hapo
Zwazwa hilo