ivi mtu ukiwa na gari ni tajiri?

ivi mtu ukiwa na gari ni tajiri?

Preta nakushngaa hivi nilivyokua nakuona muelewa kumbe na we ni walewale wanaofikiri kila cha thamani alichonacho mwanamke kapewa na mwanaume?!pole kwa mawazo mgando dadangu gari nimenunua kwa pesa yangu nashukuru Mungu mkopo unaisha mwezi huu endelea kusubiri mwanaume wa kukununulia gari.more am on my way to cosruct a house wake out madam acha kufikiria kutegemea kabao
 
Kwa hawa wadada wa kiafrika sio tu gari liwe la kwako..yaan mradi kakuona unaendesha basi taabu!
Na hii ni kwa sbb wengi wetu familia zetu ni maskini..so, mtu akiwa na gari inaonekana anazo..but kwa wanaoyajua magari hata kama ni mdada zaidi ataangalia model unayoendesha..kifupi unahitajika kuwa na hela ili kumiliki gari bila matatizo..however, that doesnt guarantee you to be named as rich.
 
Acha mchezo Nyumba nini Bwana, nikiwa na gari naweza lala ndani ya gari popote, na heshima yake ni kubwa kwani saa zote unakuwa na pesa ya mafuta, pesa ya Traffic, pesa ya oil tyre nk
Itafika mahali kila mwenye biashara, ataona umuhimu wa gari kuwa ni lazima kuwa nalo
una akili timamu?
 
Hili jambo nimekutana nalo asubuhi kutoka kwangu ni 1km mpaka kituo cha daladala sasa huwa napenda kufanya walking mara nyingi basi huyo dada nikakutana naye asubuhi ya leo akaniambia eti nautajiri wote nunua gari kha nikamshangaa nikajua kumbe ukitaka jamii ikutambue ni tajiri hata kama una nyumba nzuri lazima uwe na gara??? Nilisikitika sana mimi sipendi kutumia gari binafsi sababu nikost kubwa per dei kwa upande wangu mpaka kipindi cha mvua tu,kukwa hamna mvua nasaga na mguu napenda kugombea daladala sana . utajiri sio magariiiiiiiiiii nyinyi wadada wenzanguuuuuuuuuuuuu
 
Kwa mazingira ya Bongo wakati mwengine kuvaa kitanashati na viatu vya juu inakuwa ngumu kwa usafiri wa umma......sasa gari inaweza kuonekana kuwa muokozi kuliko nyumba kwa watu unaowa date tu
 
Xo inshu kumililik gar xo utajiri hata ya mkopo c yapo...'
 
Kwa mazingira ya Bongo wakati mwengine kuvaa kitanashati na viatu vya juu inakuwa ngumu kwa usafiri wa umma......sasa gari inaweza kuonekana kuwa muokozi kuliko nyumba kwa watu unaowa date tu

"jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza"
Mie nilikua na misimamo hiyohiyo ya kuwa nyumba kwanza.Sasa ikitokea mna kikao sehemu fulani au mmeenda kwenye sherehe unaanza kuhangaika na usafiri na mara nyingine ni usiku,unakuta ukikodi taxi, nauli unayolipa ni bora uwe na gari yako.sasa kuna binti mmoja ambaye ndie alikua akinisitiri mahitaji ya kiroho,yeye priority kwake ikawa gari.Baadae nikaanza kunotice time magt.kwakweli kwa Joto la Dar na mihangaiko na pilika pilika nilikuja gundua umuhimu wa gari.kwani muda wa kazi ofc yake ilikua kabla ya ya kwangu ,hivyo alikua anaingia ofcn ananiachia gari.Nilikuja gundua nilikua na fanya mambo mengi kwa muda mchache kuliko hapo awali na ndipo ikabidi nijipigepige na mie nikajikomboa.Later on tukaanza ujenzi ambao ulichukua mwana na upuuzi.Na hapo tena nilikuja kuona umuhimu wa gari kwani wakati mwingine unahitajika kukimbia site maramoja,unatoka lunchbreak,unaweka mambo sawasawa na unarudi oficn.
Kwa Dar kwakweli gari ni muhimu,unatakiwa uamke asubuhi sana,ukagombee daladala,siku kukiwa na mgomo ndio usiseme,hali ya hewa yenyewe unafika ukiwa na kikwapa.usipokua na perfume ndio hata wafanyakazi wenzio unawakera.
Kwa uhalisia wanawake wengi ni wasafi ,ndio maana unaona ni rahisi kuwakubali wenye magari kwani wengi wao hupenda kuwa na uhakika wa usafiri wa raha pale anapokua na mpenzi mwenye usafiri.
Kama huamini ,watafute wakinga wenye maghorofa kariakoo ambao hawana usafiri,unaonekana mbwiga tu.
Lakini kwa mimi la muhimu zaidi kwangu ni time magt.
"hakuna raha kama kutembea huku umekaa"
 
Yanini tabu yote hiyo ya kusubiria kuwa 'chosen few'?..najinunulia gari mwenyewe na kujiachia kwa nafasi :baby:

Hilo ndio neno Haven na ndio maana manyanyaso kwa mwanamke hayaishi kwani kuna ambao wanajitengenezea mazingira ya kunyanyaswa kwani issue ya gari mtu ukiamua unaweza hata kama iki-happen mpenzi wako ana gari ichukulie kawaida
 
Last edited by a moderator:
inategemea kipimo chako cha utajiri. ........kwamfano fikiria tajiri mkubwa hapa tanzania unaye mfahamu halafu mfananishe na tajiri mkubwa unaye mfahamu marekani. utakuja fahamu kuwa kwa wengine kumiliki gari ni utajiri, wengine hata BASKELI ni utajiri
 
Preta nakushngaa hivi nilivyokua nakuona muelewa kumbe na we ni walewale wanaofikiri kila cha thamani alichonacho mwanamke kapewa na mwanaume?!pole kwa mawazo mgando dadangu gari nimenunua kwa pesa yangu nashukuru Mungu mkopo unaisha mwezi huu endelea kusubiri mwanaume wa kukununulia gari.more am on my way to cosruct a house wake out madam acha kufikiria kutegemea kabao

Kama unapenda gari ni vizuri kuchukua hatua ukanunua la kwako kama wewe ila ikitokea mwanaume amejitutumua basi hilo ni jambo la kheri pia, kuna kinadada wengine wanakera kwani yeye kama yeye hata ukimwambia atoe laki tano uongezee milion 10 uvute mchuma hana lakini shobo na gari mpaka basi lakini kuna ambao wanashobokea magari lakini wanaonyesha juhudi za kulitafuta au hata kuwatia moyo wapenzi wao kuwa na kipato cha ziada mwisho wa siku wanakuwa na gari
 
america,asia na ulaya gari ni basic needs,ni kitu cha lazima na kawaida,africa tuna matatizo
 
Enzi nilivyokuwa na gari madem kibao sasa nina nyumba gari sina hata wale wa zaman siwaoni, ngoja nikope tena ninunue gari heshima irudi mjini!!
 
Nyumba ni utajiri kuliko gari, ingawa gari huwa inaonekana kutokana na mobility. Ndiyo maana kuna baba mwenye nyumba au mama mwenye nyumba, lakini hakuna baba mwenye gari, au mama mwenye gari.
 
Kwa maisha ya bongo ukiwa na gari lazima uwe na kipato cha kueleweka. Lakini kawaida gari haimaanishi kuwa ni tajiri, gari ni sawa na baiskeli inakuwezesha kukutoa from A to B period.

Lakini huu ushamba wa kushobokea gari ni kwasababu unatembea na gari watu wanakuona na gari lakini sio nyumba.

MadameX
Nimependa comment yako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom