ivi mtu ukiwa na gari ni tajiri?

Ni sawa na mtu akiona mwanamke mja mzito barabarani, anajua moja kwa moja sio tasa. Hata kama una watoto kumi nyumbani ukitembea barabarani nani anajua unazaa au huzai? hahahaha

Roulette
Ha ha ha ha haaaaaaaa!! Ama kweli JF ni zaidi ya burudani, asante mkuu wangu.
 
Last edited by a moderator:
Aisee hii thread haiwezi kunoga bila kuingia hapa kijana mmoja anaitwa Muuza Sura. hebu karibu hapa Mkare wa Down town, hawa hawajui kama watu wanachukuwa mademu wakali kwa pamba kali na simu kali sembuse mkoko!?
 
Saigon.....kama huna muonekano,jina mjini pia huna wala familia uliyotoka haina jina,nguo hazikukai na unataka nawe uwe katika record za kutembea na watoto wazuri basi fanya keke ununue gari kwani ndo hirizi ya kizungu ya kung'oa walimbwende!......!!!ila juzi kati nipo club kuna pimbi mmoja kapiga koti lina vifungo kama nane halafu oversize utadhani shati wakati single button ndo habari ya mjini, yaani kwa kifupi jamaa ni mnyalukolo ila demu anayemiliki ni hatari!nikaconclude kama jamaa atakuwa ana pesa ya kutosha na nje atakuwa ana ndinga kali!
 
Last edited by a moderator:
Utajiri ni nyumba mtu asikudanganye!mwenye nyumba 1 dar ana utajiri kuliko ma bus ya scandnavia 100.leo yale ma bus yapo wapi lakini plot na ofisi zipo

ila hadi leo unakumbuka kama kuna tajiri wa mabus ya scandinavia!.....jina kwanza!
 
Gari siyo nywele kila mtu anazo........
Na wabongo tulivyowabishi kila siku mafuta yanapanda lakini containers za magari zinashuka daily
Halafu kuweka heshima bar, unalewa unaingia kwenye mkoko , chenyenyenyenyenye druuuuu kila mtu jicho hilooo
 
Kwa haraka haraka ukitajiwa fulani kanunua gari...haijalish linasoma T 101 AAA watu mind zinaclik jamaa sasa anazo...hata waliojenga nyumba zao za mamilioni ukienda ww na duet yako ya mkopo wa riba fift pasent unaonekana wa maana...what's so special with gari..dada zetu ndo usiseme..umwambie una kiwanja masak
Na mwingine ana corola limited;utaonekana huna ishu...ni mtazamo wangu wa muda mrefu..

Bei/Gharama ya kununua gari ina mfanya mtanzania anaye gombania daladala kila siku(bila kupenda) kutokana na kutokuwa na uwezo wa kununua hata kwa mkopo. kumuona aliye nunua kama tajiri. Ukweli ni kwamba yapo ya urithi ya mkopo ya ofisi na nk
 
Kwa haraka haraka ukitajiwa fulani kanunua gari...haijalish linasoma T 101 AAA watu mind zinaclik jamaa sasa anazo...hata waliojenga nyumba zao za mamilioni ukienda ww na duet yako ya mkopo wa riba fift pasent unaonekana wa maana...what's so special with gari..dada zetu ndo usiseme..umwambie una kiwanja masak
Na mwingine ana corola limited;utaonekana huna ishu...ni mtazamo wangu wa muda mrefu..

Habari? naomba kuchangia japo ni late. Mimi nilifanya kazi kwa miaka mitatu sina gari yaani nilikuwa napata embarrassment kutoka kwa watu hasa wateja wa kampuni niliyokuwepo,cha kushangaza hakuna mtu aliyewahi kuniuliza mbona huna kiwanja,hata wengine hawakuona ni jambo la maana kwa mimi kuanza kujitegemea na kupanga sehemu yangu ambayo ilikuwa inajitegemea. Kila ilikuwa nikikutana na watu oooh mbona huna gari au unajenga.. mara sijui nini, wakati huo huo nasaidia wadogo zangu haswa mmoja hakupata mkopo wa bodi!!
Kwa kweli wabongo wanaudhi sana sana hasa kwa kupenda kuwapangia wenzao jinsi ya kutumia hela zao!!
wengine wanaiba hela basi tu ku please watu! sasa kila mtu akiwa na gari tutapita barabarani kweli???
Mimi mfano rafiki yangu hakuwa na gari na sikuona tatizo maana sidhani kama gari ni kila kitu, as long as mtu una plan zako just follow them.
icon6.png
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom