Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,887
Mwaka huu lazima ninunue Bajaji ili nami niwakoge!.
utapanda mwenyewe wallah....nani wa kubinuka na bajaj....inahuu....
Mwaka huu lazima ninunue Bajaji ili nami niwakoge!.
Kwa maisha ya bongo ukiwa na gari lazima uwe na kipato cha kueleweka. Lakini kawaida gari haimaanishi kuwa ni tajiri, gari ni sawa na baiskeli inakuwezesha kukutoa from A to B period.
Lakini huu ushamba wa kushobokea gari ni kwasababu unatembea na gari watu wanakuona na gari lakini sio nyumba.
acha mchezo nyumba nini bwana, nikiwa na gari naweza lala ndani ya gari popote, na heshima yake ni kubwa kwani saa zote unakuwa na pesa ya mafuta, pesa ya traffic, pesa ya oil tyre nk
itafika mahali kila mwenye biashara, ataona umuhimu wa gari kuwa ni lazima kuwa nalo
He he he...ntampata tu jua kali mwenzangu ambae Bajaji kwake ni kama BMW kwa masista du!.utapanda mwenyewe wallah....nani wa kubinuka na bajaj....inahuu....
gari ni hirizi la kijepi kwa kinadada.......
:focus:........sijui ni kwa nini watu wanakuthamini sana ukiwa na gari kuliko nyumba.........
au nipigie bdae niko nadrive....
wewe endelea kujidanganya tu, halafu tongoza demu mkali umletee hadithi na tamthilia hizi za kusadikika halafu utayapata majibu yake. watu mtaani wanachukuwa madada za watu kwa mashangingi STJ na STK halafu wewe bado hujui kama gari ndio albadili ya Kijapan kwa mabinti? nyinyi ndio wale wale eti mapenzi siyo pesa!!.......
Ni sawa na mtu akiona mwanamke mja mzito barabarani, anajua moja kwa moja sio tasa. Hata kama una watoto kumi nyumbani ukitembea barabarani nani anajua unazaa au huzai? hahahaha
Acheni mchezo,na magari bandeko,kama una gari basi kazi ya kumpata bidada inakuwa imeshafanyika robotatu,na ukimuahidi kila siku kumpeleka kazini na kumrudisha basi hakuna atakachoweza kukunyima...au nadanganya Preta
Kwa haraka haraka ukitajiwa fulani kanunua gari...haijalish linasoma T 101 AAA watu mind zinaclik jamaa sasa anazo...hata waliojenga nyumba zao za mamilioni ukienda ww na duet yako ya mkopo wa riba fift pasent unaonekana wa maana...what's so special with gari..dada zetu ndo usiseme..umwambie una kiwanja masak
Na mwingine ana corola limited;utaonekana huna ishu...ni mtazamo wangu wa muda mrefu..
Japokuwa bidada wengi hupenda wenye magari but only chosen few hubahatika kuwa na wakaka wenye magari wengine huishia kuwalazimisha jamaa zao wawe na magari lakini gari halipatikani