Ohooo asante sana kakaKilingala ni kizuri zaidi manake inakuwa rahisi kupata na zile lafuzi za kifaransa
Usiwe na mwanya wa Kiswahili sasa utajikuta unanyesha hovyo hovyoKifaransa kitamu sana
Happy dude
Hii unaweza jifunza mtandaoni?Lingala Mkuu, Mimi Kwangu ndo Iko Poa
Ingependeza sana kama ungeonesha kwa mifano lugha na matumizi yake.Dah...inategemea unataka kufanyia nini....
Kuna lugha nzuri kuimbia...nyingine kutongozea... nyingine kukemea..kuhubiria...kukopea..nk.nk
Sent using Beretta ARX 160
Dah...hivi kisukuma unaweza tongozea? Si itakuwa kama unakaripia..Ingependeza sana kama ungeonesha kwa mifano lugha na matumizi yake.
LingalaKwa wale wanaofahamu utamu wa lugha hebu mniambie kati ya lugha hizi tatu kiganda cha Uganda, kinyarwanda cha Rwanda na kilingala cha Congo ,
Ipi ni lugha tamu na nzuli kuongea na yenye lafudhi nzuliii nataka kujifunza baada ya kiswahili niwe na lugha nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio inawezekana mkuuHii unaweza jifunza mtandaoni???