Ivi lenzi za macho zinazovaliwa na wanawake, Wanaume nao wanavaaga ??

Mie jicho tu kuligusa kidogo huwa nalichezesha mpaka basi, sasa hao wanaovaa lens sijui nawaonaje aisee maana mie ukiingia mchanga tu alafu nimwambie mtu ananitoa ni shughuli mpaka wakati mwingine naamua kulala tu nikiamka asubuhi ninakuta mechanisms ya mwili yenyewe imeutoa, hao wanaovaa nawaona kama mashujaa
 
Ugonjwa wa macho unampelekea kuhitaji lenzi zinachagua mwanaume au mwanamke?Hizo ni sawa na miwani.
 
Sioni tatizo ni kama miwani ukiandikiwa na dr mimi nina matatizo ya macho so navaa lens but "clear" hii ni inafuata ur natural eye color soon nafanyiwa LASIK shida ya kuona iishe...
 
Back
Top Bottom