Ivi lenzi za macho zinazovaliwa na wanawake, Wanaume nao wanavaaga ??

Super women 2

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
5,165
6,531
2fd12ad60abb0118bc58cd8c451304c8.jpg

Au ni ushamba wangu tu. Au macho yake ndo yalivyo??
 
hio ni editin

bt wanaume pia hizo lenz wanaeza kuvaa bt ni urembo wa kike so ukivaa mtt wa kiume inakua haiko sawa
 
Yah ni kweli niewai vaa pia lens za macho zamani sana wakati nko o level, zinahitaji usafi sana ni utumwa pia mana unaweka asubuhi unatoa wakati wa kulala zinahitaji dawa nlikua natumia inaitwa Opt-free ilikua gharama kidogo enz hizo...
 
Du
 
Mie jicho tu kuligusa kidogo huwa nalichezesha mpaka basi, sasa hao wanaovaa lens sijui nawaonaje aisee maana mie ukiingia mchanga tu alafu nimwambie mtu ananitoa ni shughuli mpaka wakati mwingine naamua kulala tu nikiamka asubuhi ninakuta mechanisms ya mwili yenyewe imeutoa, hao wanaovaa nawaona kama mashujaa
 
Back
Top Bottom