Ivi kuna madhara gani kwa wanao nyonya uchi wa mwanamke /mwanaume

Hata kunyonya uume haishauriwi pia sababu wanaume walio wengi si waaminifu.
 

Imepenyaa iyoo mkuu
 
Pia kuna heshima gani kufanya machukizo haya??? Lord have mercy on us!
 
Hata kunyonya uume haishauriwi pia sababu wanaume walio wengi si waaminifu.
Mkuu tumekuelewa maana siku hz mambo ya haki sawa BUT anatomy ya mwanamke na mwanaume ni tofauti sana, after sex every thing zinabaki kwenye vagina mwanaume habaki na kitu hata ufanyaji wa usafi kwa mwanaume ni almost 100% anatoa kila kitu ila kwa mwanamke products zote zinabaki ndan hata akifanya usafi hawez kutoa kila kitu kwa 100% thus why hata risk ya kupata STIs/HIV ni kubwa kwa KE kuliko ME. Nimekueleza kitaalam si kwamba naunga mkono mambo ya ORAL SEX
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…