..... Ivi kujitambulisha kwamba upo Dar...... ni ujanja eeehhhh..!!?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

..... Ivi kujitambulisha kwamba upo Dar...... ni ujanja eeehhhh..!!??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by WaliNazi, Apr 29, 2012.

 1. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  .....Ok mimi nipo Kasanga...Kirando.. ninafanya biashara ya migebuka...
  wewe uko wapi....

  kuwa wazi...

  ....achana na utumwa wa fikra.....
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Acha kuhukumu watu,

  Shutma zako ni kwa wanaJF au mtaani?

  Sasa kama mtu anaishi Dar akwambie anaishi Arusha? Wewe umejitambulisha vema sana kwa sababu upo huko. Ungekuwa Dar ungejimbulishaje au ungesema upo Mwanza na hali upo Dar?

  Msiwaonee watu wa Dar bana.

  Haya mimi najitambulisha nipo Uyole Mbeya na kuna kipindi napatikana Tunduma, nao huo ni ujanja?

  Walinazi utaliwa wewe, si unajua walinazi jinsi ulivyo mtamu kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeh!!!!!
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  Chuga beibe....mwana a polo....nikichoronga na kati ya manta.....vp....karibu
   
 4. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33

  ....inakuhusu hiii ... au sio??
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Arachuga
   
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  We WaliNazi Au unatafuta mahala pa kufikia kiujanja...!?,
  Ok me niko Dasalama, nakati ya KinoClain Beibee...!
  Ukinikosa Trave au TwnCty...,
  Cam SamakSAMAK Mbeziii....!
  Takuelekeza bhana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33

  ....sasa wewe uko yombo dovya huko.... maandazi mwauziwa kwa mafungu nije fanya nini mimi...
   
 8. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kama kweli mtu yupo dar asemeje sasa? Hahahaha.....karibu Ipondamafulela-Sitimbi, huku ndipo nilipo!
   
 9. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  WaliNazi kwani Yombo wanaishi swala na ngamia?,
  Mandaz ya mafungu ndo yanakuweka mjini, kama vp uza shamba la urithi takueleza unitafute..!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mimi sipo Dar wala nini, bali nipo Mwananyamala Kwa Kopa...............................
   
 11. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hainihusu mimi nipo Mbeya, karibu Uyole na ningekuwa Dar ningekujuza nipo Dar hata kama ni Tandale Kwa Mtogole.
   
 12. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Inafanana na kusema mimi nyama sili ila mishikaki nakula sana!!!'''
   
 13. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  I wishi nije Arusha nikuone!!!! Nikichoronga na kati manta ni kilugha gani hicho?
   
 14. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,711
  Trophy Points: 280
  Kama kweli mtu yupo dar asiseme karibu walinazi mchicha
   
 15. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Inategemea na watu unaointerract nao, kama ni wa aina ya kujisifia makazi mpaka kufikia hatua ya kujihamisha basi na wewe utakuwa wa aina iyo hiyo.
  Mimi niko Dar es Salaam, Tanganyika, jobless!
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mie milango hii nipo chumbani, tuliii !
  Sijui utapenda uniulize nafanyani?
  Nipo kunako "uwajibikaji wa pamoja!" (Collective responsibility)
  WAYAJUA MAHANJAM YA CHUCHU WEYE !?
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Inaonekana mtu akija na swagger kuwa anakaa Masaki wallahi anakula kifuko cha mbolea, na mpaka uje kugundua ni Masaki ya Chole, Mkuranga itakuwa 'too late', marinda yatakuwa yashafumuka.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Tena si ado'ado! Ni fumufumu!
   
 19. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Naona Rutta amewakosha wengi!
   
 20. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Haswaaa, Kilawalawa umeiona eeh ?
  Acha tujifaudu na mahanjam ya machuchu!
  Maisha yenyewe mafupi haya!
  Na ukifanya sensa nyumba zetu za mjini , takriban katika kila street utakuta 3 quator ya nyumba zinamilikiwa na widows!
  Ndiyo kusema sie ndy RIP viherehere!
   
Loading...