aiseehh!hivi mtu makini ataangalia clouds kweli
hii nchi wajinga wengi utakuta jitu zima linaangalia shilawadu daahhh!!
halafu mnataka Tanzania ya viwanda...
Nimeghairi kuendelea kusoma huu uzi wako...hapo ulipofika kwenye SHILAWADU...sijui nini...Takwimu za hivi karibuni zinazoonesha kituo cha televishen cha Clouds kikiwa kinaongoza kutazamwa na watazamaji wengi kimepeleka shockwaves na kilio kwa kituo ambacho kilikuwa kinaongoza kutazamwa kwa mda mrefu cha ITV.
Hali hii inahatarisha pia wazamini wa vipindi ambao wamekuwa wakinunua airtime ya matangazo kwa kipindi kirefu...
Just imagine wewe ndio muuzaji wa bidhaa fulani mathalani sabuni na unataka uitangaze alafu takwimu zinasema kuwa kituo fulani kinatazamwa zaidi, unadhani utajisumbua kupeleka matangazo yako ITV? Iwapo utayapeleka ITV definitely utataka utozwe pesa kidogo kuliko rates ambazo utapewa clouds.
Hali hii imethibitishwa na taarifa za kucheleweshwa kwa mshahara zilizotolewa na ITV, kitu ambacho kilikuwa hakijawahi kusikika kwa miaka ya nyuma.
Kuhaha kwingine kumeonekana baada ya ITV kulegeza msimamo wao na 'kuachia bure' matangazo yao kwa njia ya mtandao. yani sasa ukiwa na ile app yao, unaweza kuangalia matangazo ya ITV bure kupitia njia ya mtandao...
Jitihada zao zimekuja when it was too little too late... Ikumbukwe kuwa ITV ndicho kilikuwa kituo chenye watangazaji mahiri na wenye mvuto kama kina Kitenge ila wakati wanajiondoa ITV ilionesha kutowashobokea, kitu ambacho kimewafanya kupoteza watangazaji ambao walikuwa wanahamasisha watazamaji.
Pia wakati ving'amuzi kama star times wakati vinaingia, ITV ilionesha kugoma kujiunga na ving'amuzi hivyo, wakijiona kuwa wao ndio kituo bora na keki ya taifa.
Hiki kiliwafanya wale wasioweza kuipata ITV kwenye ving'amuzi kikimbilia kuangalia channel nyingine na kuifuta ITV kwenye akili zao.
ITV iliendelea kulala usingizi wa pono na kujidanganya kuwa wao ni super brand na kuzidisha fomarlity kwenye vipindi vyao hivyo kuvifanya vipoteze mvuto ihali TV kama clouds zinazoonesha vipindi vya kiswazi kama kile cha SHILAWADU wakizidi kujipatia umaarufu...
Kwa sasa ITV wana kibarua kizito sana kupambana na TV zinazoibukia na wasipojiangalia wanaweza wakazidi kupotezwa kwenye soko la watazamaji wa TV za nyumbani...
Atakua ni RugeMaelezo yako umeyapata kwao? Mbona unawasemea? Wewe ndo afisa habari wa ITV?
Unamsema mwenzio haya wewe una ya polepoleNaona mimba ya ufipa inakupelekesha kweli kweli
Mkuu kama huipendi hiyo redio au channel basi isiwe kigezo cha kushirikisha na issue zingine zisizohusiana,binafsi nimeacha kusikiliza clouds muda mrefu sana lakini nilikuwa mdau kipindi changu chote cha masomo o'level.Na sijaona inachangia vipi watoto kufeli.Mtoto anapofeli mnaanza kusingizia hata issue zisizochangia kama hiyo..Watoto wa dar Kikubwa malezi ya baba na mama zao ni mabovu...na vishawishi ni vingi lakini siyo ulichokisemayaani ujinga mtupu....!!!clouds kabisa halafu wanashangaa kufeli DSM mitihani ya form four...
yaani siipendi hiyo chaneli
ujinga mtupu
asee tena nkikosa isidingo naumwa kabisa naanzaje kumkosa pastor Gabriel.....We wa isidingo tupo hapa kinachonifurahisha kwenye isidingo unaweza usiifuatilie hata miezi sita ila siku ukiifuma ndo Kama unaendelea ulipoachia Jana [HASHTAG]#isidingo[/HASHTAG] the need
BBC dila ya dunia =BBC Dira ya duniamimi nilikuwa naipenda ITV wakati ule bado haijatekwa na sisiem ila kwa sasa sins kituo nachoangalia zaidi ya BBC dila ya dunia, clouds ndio sitaki hata kuisikia
Very good analysis..Takwimu za hivi karibuni zinazoonesha kituo cha televishen cha Clouds kikiwa kinaongoza kutazamwa na watazamaji wengi kimepeleka shockwaves na kilio kwa kituo ambacho kilikuwa kinaongoza kutazamwa kwa mda mrefu cha ITV.