Ndio maana nikasema wangehoji na upande wa pili ili kupata habari iliyokamilikaulitaka wa kuripoti wewe? Kwa nin usifikirie kwamba Itv wanafanya haki kuwatetea wanaonewa kwa chuki binafsi? Wakuondolewa waondolewe ila watu wasitumie visa kudhulumiana.
Katika taarifa ya habari iliyosomwa jana usiku saa mbili na kurudiwa leo asubuhi ITV imeripoti kuwa hata nyumba ambazo zilikuwa maeneo ya juu ambazo hazijawahi kukumbwa na mafuriko nazo zimebomolewa. Taarifa hii wameipata kwa kuwahoji waathirika pekee bila kuwahoji wasimamizi wa ubomoaji kama zina ukweli wowote au ni malalamishi yasiyo na msingi.
Kwa mtazamo wangu nadhani walipaswa kuwahoji na wasimamizi wa bomoabomoa ili kupata habari iliyokamilika vizuri. ITV kurusha taarifa kama hii kwa upande wangu naona kama ni kudhoofisha bomoa bomoa inayoendelea kwa kuwa itaonekana kama ni zoezi ambalo halikufanyiwa utafiti wa kina kujua ni nyumba zipi zinapaswa kubomolewa hivyo kuonekana kama serikali ilikurupuka na inachofanya ni uonevu kwa baadhi ya watu.
Naomba kuwasilisha ila matusi hapana.
Unataka kuniambia serikali imeshindwa hata kukata pori na kuwagawia viwanja ili anayejenga full suit ajenge walau ajihifadhiHapa kazi imekuwa haps kilio tu, ila serikali ina nia ya dhati kuokoa maisha yenu maana kipindi cha mafuriko tunapoteza nguvu kazi kubwa kutokana na mauti yanayoikumba jamii ya mabondeni na pia huwa mnatia hiruma sana sasa sijui kwa nini hamtaki kuondoka mnaleta lawama mwingine ataniuliza tutaenda wapi na mimi namwambia nenda ulikotoka. Serikali haitavumilia tena kwenda kuopoa maiti kwenye maji tena na kutuchafulia mabonde ambayo ndio njia kuu ya maji kipindi cha mvua nyingi.
Kwenye hili naona kuna misunderstanding ya nini kina lalamikiwa. Ubomoaji ni wa muhimu na ulipangwa siku nyingi kabla ya Magufuli, lakini jee serikali imehakiki kuwa vile viwanja vilivyokuwa vimetolewa kwa wahanga Mabwepande na kwingineko wamepewa?Hapa kazi imekuwa haps kilio tu, ila serikali ina nia ya dhati kuokoa maisha yenu maana kipindi cha mafuriko tunapoteza nguvu kazi kubwa kutokana na mauti yanayoikumba jamii ya mabondeni na pia huwa mnatia hiruma sana sasa sijui kwa nini hamtaki kuondoka mnaleta lawama mwingine ataniuliza tutaenda wapi na mimi namwambia nenda ulikotoka. Serikali haitavumilia tena kwenda kuopoa maiti kwenye maji tena na kutuchafulia mabonde ambayo ndio njia kuu ya maji kipindi cha mvua nyingi.
Katika taarifa ya habari iliyosomwa jana usiku saa mbili na kurudiwa leo asubuhi ITV imeripoti kuwa hata nyumba ambazo zilikuwa maeneo ya juu ambazo hazijawahi kukumbwa na mafuriko nazo zimebomolewa. Taarifa hii wameipata kwa kuwahoji waathirika pekee bila kuwahoji wasimamizi wa ubomoaji kama zina ukweli wowote au ni malalamishi yasiyo na msingi.
Kwa mtazamo wangu nadhani walipaswa kuwahoji na wasimamizi wa bomoabomoa ili kupata habari iliyokamilika vizuri. ITV kurusha taarifa kama hii kwa upande wangu naona kama ni kudhoofisha bomoa bomoa inayoendelea kwa kuwa itaonekana kama ni zoezi ambalo halikufanyiwa utafiti wa kina kujua ni nyumba zipi zinapaswa kubomolewa hivyo kuonekana kama serikali ilikurupuka na inachofanya ni uonevu kwa baadhi ya watu.
Naomba kuwasilisha ila matusi hapana.
Hata habari za zinazohusu mauaji wasizitoe kwanza mpaka wampate marehemu athibitishe kuuwawa kwake ili ku_balance story.