Generetaion Z
JF-Expert Member
- Oct 2, 2022
- 343
- 882
Naunga mkono hoja. Hizo kampuni zinaenda ITV zikiwa na uthibitisho wa uwepo wake nchini kisheria, sasa iweje ITV wakatae kutangaza?ITV ni wafanyabiashara yeyote aliepitishwa na Brela na TRA wanamkubali wao hawana taasisi ya kukagua matapeli mimi nawalaumu BOT hawajui wafanye nini yule Mzee Luoga apumzike tuu..ukiwa na kichwa cha kuamini kila kinachorushwa na Runinga kipo sahihi basi una safari ndefu..mwisho hela kama hela huwa haipandwi sijuii iitwe mbegu mara Asset vile ni viingereza vya wapigaji mshukuru Tanzania haina Wasenegali kwa akili mlizonazo wengi mngekua mnalia kila siku...
Wapo kariakoo sema wameshazeekaITV ni wafanyabiashara yeyote aliepitishwa na Brela na TRA wanamkubali wao hawana taasisi ya kukagua matapeli mimi nawalaumu BOT hawajui wafanye nini yule Mzee Luoga apumzike tuu..ukiwa na kichwa cha kuamini kila kinachorushwa na Runinga kipo sahihi basi una safari ndefu..mwisho hela kama hela huwa haipandwi sijuii iitwe mbegu mara Asset vile ni viingereza vya wapigaji mshukuru Tanzania haina Wasenegali kwa akili mlizonazo wengi mngekua mnalia kila siku...
Watu Wenyewe HawajielewiMkishika shika mbupu hamsemi mkianza kuchezeshewa mbupu mnaana kulaumu ITV
Hawapo Kkoo Wasenegali wapo Jobeq hapo hayo mabalaa ya Kalynda ni ya kitoto...Wapo kariakoo sema wameshazeeka
Sasa ushoga na kalyinda vinaendana Mkuu, unalinganisha mbingu na Ardhi??, Kama umetapeliwa kaa kwa kutulia!!Kwahiyo hata tangazo la ushoga? Ruska kwa kuwa mteja hee
ππππ hii nchi hii lile swala la tozo limeishia wap maan lishakj jingn la kalyindaHabari wananzengo..
Hongera simba kwa kuwakilisha vyema taifa
Turudi kwenye mada inawezekana vipi chombo kikubwa kama ITV, superbrand wa miaka kadhaa hapo nyuma kupromote utapeli, wa hii kampuni ya kalyinda,?. Kuna kila sababu ya ITV na management nzima kuwajibika juu ya hili. in fanct ni kwamba ITV imejijengea uaminifu kwa wananchi hivyo kutangaza hiyo kaylinda ilikuwa ni rahisi kwa mtu yoyote kujiunga.
ITV WAHOJIWE WATUONESHE WAPI ALIPO KALYINDA..
ITV mmejishusha thamani kubwa machoni kwa watanzania ikiwezekana mtutake radhi.
Nanyi watu wa mjini mkijihoji kwa kupenda michezo ya bahati nasibu na online business.Makampuni yanakuja tu mengi na serikali inayapa kibali.Habari wananzengo..
Hongera simba kwa kuwakilisha vyema taifa
Turudi kwenye mada inawezekana vipi chombo kikubwa kama ITV, superbrand wa miaka kadhaa hapo nyuma kupromote utapeli, wa hii kampuni ya kalyinda,?. Kuna kila sababu ya ITV na management nzima kuwajibika juu ya hili. in fanct ni kwamba ITV imejijengea uaminifu kwa wananchi hivyo kutangaza hiyo kaylinda ilikuwa ni rahisi kwa mtu yoyote kujiunga.
ITV WAHOJIWE WATUONESHE WAPI ALIPO KALYINDA..
ITV mmejishusha thamani kubwa machoni kwa watanzania ikiwezekana mtutake radhi.
ITV KAMA CHOMBO CHA HABARI WANAPOKEA MATANGAZO UNAWALIPA FEDHA KWA AJILI YA TANGAZO LA BIASHARA YAKO , SIO JUKUMU LAO KUKUULIZA MASUALA YA LESENI YAKO !Habari wananzengo..
Hongera simba kwa kuwakilisha vyema taifa
Turudi kwenye mada inawezekana vipi chombo kikubwa kama ITV, superbrand wa miaka kadhaa hapo nyuma kupromote utapeli, wa hii kampuni ya kalyinda,?. Kuna kila sababu ya ITV na management nzima kuwajibika juu ya hili. in fanct ni kwamba ITV imejijengea uaminifu kwa wananchi hivyo kutangaza hiyo kaylinda ilikuwa ni rahisi kwa mtu yoyote kujiunga.
ITV WAHOJIWE WATUONESHE WAPI ALIPO KALYINDA..
ITV mmejishusha thamani kubwa machoni kwa watanzania ikiwezekana mtutake radhi.
Chukulia kwamba wewe una kituo cha habari.. anakuja mtu (mteja) na tangazo lake... Anataka liende hewani kupitia kituo chako cha habari.. na matangazo kwako ni biashara... Vipi mzee utalipeleka tangazo hewani ama utaliacha..??
Mbona wewe umenitapeli na nimekaa kimyaa? Usisahau mjini ukiona mtu kauwawa ni pesa au mke wa mtu. Muda ni rafiki mzuri ngoja tuHabari wananzengo..