Ushauri wangu kwa ITV

evonik

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
3,998
5,133
Heloo Sunday folk!!

Niende kwa mada, televishen ya ITV ni moja ya chaneli zinazopendwa ktk upangaji na utoaji wa taarifa zake za habari, kitu kinachofanya ipendwe sana mbali na happo hakuna cha ziada, kuanzia quality ya picha zao ni mbovu hadi watangazaji wao huwez walinganisha na wa azam au tbc kwa uvaaji wa nguo.

Ushauri wangu kwa ITV kwenye habari zenu mtoe kile kipimo joto ambacho mwanzo mlikuwa mnaweka takwimu wanaosema ndio, hapana na sijui lkn now hamweki, mi nasema na kipima joto chenyewe kiondoen pia kipengele cha kibonzo cha Nathan Mpangale mukitoe hakina maana yoyote, halafu muda ule muweke utabiri wa hali ya hewa.

Watu tujue sehemu za nchi zinaendaje hata kama tunataka kusafiri tujue tunapoelekea papoje. Asante
Nawasilisha.

ITV
 
It is time for ITV to change outlook of their Studio. It has been like that not less than 10 years. Dress code for your women broadcasters has to improve. Their is no need of wearing jacket/coat!
 
Kwanza nani kasema wao ni super brand? Halafu hawajui ni unprofessional kuipa mgongo audience kila wanapoanza taarifa ya habari! Yaani tunalazimishwa kumwangalia mtu mgongo wake hadi anapokaa.

Halafu mtu yuko mbaaali! Tena inachosha kuangalia furniture ileile miaka nenda miaka rudi.
 
Kweli hawana creativity kama Azam
 
Back
Top Bottom