ITV tanzania wamjibu mange kimambi.!!!

ITV tanzania wamjibu mange kimambi.!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
IMG_20171129_071029.png
 
ITV inatakiwa imchukulie hatua huyu moderator wao Mara moja! Hivi watabishana kwa matusi na watanzania wangapi maana kila uchao viwanda vipya vya kuzalisha matusi vinazidi kuongezeka! Huku ni kukosa uelekeo kwa kweli Itv mmenisikitisha sana
 
Mange kawapa za uso tetetetetetr love u Mange🙁😡😕




Swissme
 
ITV inatakiwa imchukulie hatua huyu moderator wao Mara moja! Hivi watabishana kwa matusi na watanzania wangapi maana kila uchao viwanda vipya vya kuzalisha matusi vinazidi kuongezeka! Huku ni kukosa uelekeo kwa kweli Itv mmenisikitisha sana
Unajua kila mmoja wetu au taasisi zina uhalisia wake na huu ndio uhalisia wao. Tunachokosea ni under au overrating!
 
itv hawawezi jibu kwa tusi hilo huyo ni mtu kajivisha u itv
 
Ha ha ha ha, Sio account yao wamekanusha Radio One hapa.
 
mtandaoni kila kitu kinawezekana hata tusiyoamini kuwezekana. nitakuwa wa mwisho kuamini uhalalinwa hiyo akaunti inayojiita itvtanzania; japo walitakiwa kuwa wameshakanusha tukio/habari ya majibizano hayo la sivyo wateja wao tutavunjika imani na wao kuambulia kupakwa matope
 
ITV inatakiwa imchukulie hatua huyu moderator wao Mara moja! Hivi watabishana kwa matusi na watanzania wangapi maana kila uchao viwanda vipya vya kuzalisha matusi vinazidi kuongezeka! Huku ni kukosa uelekeo kwa kweli Itv mmenisikitisha sana
ahahahhaaaa wamepewa za uso hadi wameanza kutafutana kwa mshumaa
 
Back
Top Bottom