pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,272
- 3,091
Kimjazacho mtu ndicho kimtokacho
Sio account rasmi ya ITV.ITV inatakiwa imchukulie hatua huyu moderator wao Mara moja! Hivi watabishana kwa matusi na watanzania wangapi maana kila uchao viwanda vipya vya kuzalisha matusi vinazidi kuongezeka! Huku ni kukosa uelekeo kwa kweli Itv mmenisikitisha sana