ITV Tanzania na Mchakato wa Katiba

ITV Tanzania na Mchakato wa Katiba

itv wapo kimaslahi zaidi,wakae hewani bila malipo mda mwingi hivyo

hapa kuhusu midaharo walikua wanalipa ? unafikiri ni chanell gani imetoa airtime kuhusu mambo ya katiba.
 
Why ITV ndio uinange hapa? Star Tv, Channel ten, Mlimani Tv,Azam Tv nk mbona hawajarusha hayo matangazo ya kukabidhiana katiba na hajasema. Matangazo kama hayo huwa yanaripiwa pesa, sitta na makanjanja wake walitakiwa kulipa pesa ndefu kwa ITV ili matangazo yarushwe hewani. NOTE: Reginald Mengi ni Mwanachama hai wa CCM toka 1977 na kila mwaka anaichangia CCM zaidi ya 500milioni.

Hizo Tv station ulizozitaja zilitengeneza/kuonesha midaharo mingapi inayohusu rasimu ya katiba na katiba zenyewe.
 
ITV licha mara kadhaa wanajifanya wapo 50-50 ila kiukweli wapo CDM zaid

wadau mkumbuke kuwa ITV ni ya mtu binafsi,mtajuaje kama wanalipwa wanapotoa hizo airtime za midahalo na makongamano????na watu wanaenda ITV kwakua inaangaliwa sana kuliko TBC,watu huangalia tbc wakat wa bunge au wakat wa michuano mikubwa,huenda hata azam tv kwa sasa inaangaliwa sana kuliko TBC,
 
Hizo Tv station ulizozitaja zilitengeneza/kuonesha midaharo mingapi inayohusu rasimu ya katiba na katiba zenyewe.

mdau TBC inarusha matangazo kwa kodi zetu,ITV NI KITUO BINAFSI,HAYA CHANNEL TEN WAO WALIKUA WANA MIJADALA YA STUDIO,AKINA POLEPOLE NAO WALIONGEA SANA
 
Bado unaangalia hiyo tv ya maandamano na midahalo?
anzisha ya kwako iripoti uupuzi. Hivi katika akili yako wewe umeona hilo la muhimu sanaaaaa angalia hata channel 10 it was no news. NILIPENDA HONGERENI ITV NA CHANNEL TEN Watanzania tunataka watu wenye msimamo sikutishwa au kuogopa kwa sababu ati mtafungiwa.
 
Itv hawajakosea kwan co lazima warushe io kitu maana kwanza haijazingatia utaifa bali uchama na maslahi ya upande mmoja

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nilishangaa jana wakati tbc wakihitimisha matangazo ya kakubidhi katiba eti wanasema, tujaribu, tumedhubutu na tumeweza!?#@$&€£¥₩₩ ni aibu kubwa. Kiukweli tangu Tido Muhando aondoke siangaliagi Tbc kabisa kwa sababu imeelemea kuitangaza ccm na serikali yake, imehamia ITV na kidogo Star Tv. Clouds na wenyewe wamepoteza mvuto kwani wameelemea upande wa ccm, na siku moja asubuhi kwenye kipindi chao walisema hawatazungumza issue zozote zinazohusu ukawa, so washapoteza uzalendo.
 
Habari zenu wakuu

Katika kufuatilia kwa mchakato wa Katiba mpya leo hii kukabidhiwa kwa Rasimu iliyopendekezwa naona wameipotezea.

Kwa hili najiuliza kama walikua mstari mbele sana katika kutoa airtime aidha bila malipo au kwa malipo leo hii wako kimya .

Je:uongozi wamefanya hivyo kwa kuwa haijapendekezwa kiuhalisia na watanzania (majority) au kwa makusudi uonesha nao hawaikubali .

Tbc1 na wanaonesha live huku Znz na Clouds tv wamejiunga kupitia Tbc1.

kwani itv ni mali ya taifa ua ya mtu binafsi?
 
Orkokola yako ukaivutie lumumba..ITV ni kituo bora..wala hakipelekwi pelekwi na rangi ya kijani,umekiona itv tu,ukitaka uhufurahishe moyo wako kwa matakwa yako fungua kituo cha tv.
 
wadau mkumbuke kuwa ITV ni ya mtu binafsi,mtajuaje kama wanalipwa wanapotoa hizo airtime za midahalo na makongamano????na watu wanaenda ITV kwakua inaangaliwa sana kuliko TBC,watu huangalia tbc wakat wa bunge au wakat wa michuano mikubwa,huenda hata azam tv kwa sasa inaangaliwa sana kuliko TBC,

thubutu, TBC inaangaliwa zaidi, followed by others. Azam TV kwa sasa bado wajipange maana kama si ligi ya bongo, hakuna kipindi kingine chenye mvuto.
 
wadau mkumbuke kuwa ITV ni ya mtu binafsi,mtajuaje kama wanalipwa wanapotoa hizo airtime za midahalo na makongamano????na watu wanaenda ITV kwakua inaangaliwa sana kuliko TBC,watu huangalia tbc wakat wa bunge au wakat wa michuano mikubwa,huenda hata azam tv kwa sasa inaangaliwa sana kuliko TBC,

sio kweli rafiki otherwise hutaki kujiambia ukweli. ITV radio 1 wapo CDM Zaidi angalia/siiliza taarifa zao za habari
au midahalo yao. wapo upaande wa KUSSHOTO
 
Siku moja nmekaa na kujiuliza swali hili.."Ni vijana wangapi walioko ccm wanaipend ccm toka moyon hata pale itapoanguka na kufilisika bas wataendelea kuisupport kama wafanyavyo sasa!!?..
 
Back
Top Bottom