ITV Tanzania na Mchakato wa Katiba

ITV Tanzania na Mchakato wa Katiba

mkuu vp hujaona TBC walivyo CCM kabisa wakati ni chombo cha umma!!! Clement mshana angecopy kwa Tido ,anachofanya sasa ni aibu.
 
Last edited by a moderator:
thubutu, TBC inaangaliwa zaidi, followed by others. Azam TV kwa sasa bado wajipange maana kama si ligi ya bongo, hakuna kipindi kingine chenye mvuto.

we punguza ulumumba uo...nani anaangalia tbc sku izi!!?...Labda wakina mama wanaangali cherekochereko....yan tv ya taifa inaonyesha vichen party!!!!
 
we punguza ulumumba uo...nani anaangalia tbc sku izi!!?...Labda wakina mama wanaangali cherekochereko....yan tv ya taifa inaonyesha vichen party!!!!

mdogo wangu unaonekana ww ni type ya bongo flava vilee,
kuangalia/kusoma TV au Gazet la taifa ni muhim au ni lazima kwa kila MTZ maana humo ndio unapopata habari zeenye ukweli na Uhakika juu ya Serikali Yetu mm n ww. sasa kusema ni akina maama tu tena wanaangalia V.Party nikujinyma ufaham.

kwa habari zigine angalia vyombo binafsi ila usikasirike akiweka hbar zenye kumpendeza
 
Back
Top Bottom