ITV SuperBrand: Bado mpo nyuma kabisa, msibane jitupeni kwenye Live streaming

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
ITV bado haijawa SUperBrand japo imepewa au sijui imejipa jina hilo katika ukurasa huu kuna kibao za Afrika ikiwe majirani zetu Kenya na Uganda ambao chaannel zao za TV zinatoa clear picture yaani unahisi kabisa zipo kijigitali ,unaweza kuzsema imeziwacha Tv zetu kwa mbaali. Hii hapa chini sio web ya Kenya ila ni kurasa ambayo zinaonyesha live streaming za kutoka Kenya ,ukibofya ndio baada kama sekunde selasini unapata matangazo live kutoka katika TV uliyokong'oli ,ni page ya webu ila kwa kushoto kwako kwa chini zipo zingine ila Tanzania haipo na huna utakapoitafuta ukaipata.

Kenyan TV - TV from Kenya.

Webu hiyo hapo juu utajionea nchi ambazo mbali ya nyingine ambazo ni masikini kuliko Tz wanatoa streaming (live) ,hivi hapa Tz wenye mitambo ya TV wanatatizo gani ,maana hata hizo zilizoamua huzioni mpaka kuwe na jambo la udaku ndio utaziona zipo mbioni kurusha live streaming ,Channel hii iiliyopata kazi ya kujiita SuperBrand ndio kabisa haijambo Star TV wanayo streaming nao mpaka wakumbuke kuweka ON ,ndio utaona manyago yao mdomo unamaliza kufumba sauti ndio inaanza kutoka ,yaani kama wanalipia basi wahakikishe matangazo yao yanatoka mazuri and clear ,tembeleeni KTN hapo juu muone utafikiri ni 3D.

Sidharau lakini naonea gere wengine ,WaTz walio nje na hapa wanatamani Tv zao za nyumbani ziwe na live streaming za kuaminika zisizotetereka ,siitegemei TBC kwani inaendeshwa na mafisadi hivyo ,haipewi hata ruhusa kutangaza habari za ndani live itakuwa za streaming ,zaidi ni kwa hawa ITV ambao wamekuwa kama kioo cha mambo ya ndani ya Tanzania na hata Channel5 nayo ipo poa kabisa inafaa wenzetu wawe na njia za kisasa kuweza kuziona huko majuu.

Ningeliwataka wahusika walitupie macho suala hili kwani tunakwenda na wakati.
 
Television ya kihafidhina hiyo. Tupa kule.
 
pata TV za kenya hapa
KenyaMOJA.com: Home
MGP sRHICws9AzPg8MOzpx8VgaoE8qFhgEADLQAoXdonEAkRYQJxySKowJ0DWAPxOPAjEB0OHIBYmSNBUAQzGDAEkhFoT6AjHjzwCaRjTQezSSgEWtFjS6A2ECC4CFSGQhEEVYMsCGQkQIArXwJQCYRnwQInZQUZsJMi0AzHAfIEGtOg9JMcAjNgSWAiEBMIXQLJSUAbRVGWBtAIOBPoQ6AlAoILUFOC4AAEcQhcCHSBgHMCUkKsHDigBogRD7LDcDMEiQKKOyxUDdggJkrEGBQTFiCSPiAAOw==

www.kenyamoja.com/

ITV bado haijawa SUperBrand japo imepewa au sijui imejipa jina hilo katika ukurasa huu kuna kibao za Afrika ikiwe majirani zetu Kenya na Uganda ambao chaannel zao za TV zinatoa clear picture yaani unahisi kabisa zipo kijigitali ,unaweza kuzsema imeziwacha Tv zetu kwa mbaali. Hii hapa chini sio web ya Kenya ila ni kurasa ambayo zinaonyesha live streaming za kutoka Kenya ,ukibofya ndio baada kama sekunde selasini unapata matangazo live kutoka katika TV uliyokong'oli ,ni page ya webu ila kwa kushoto kwako kwa chini zipo zingine ila Tanzania haipo na huna utakapoitafuta ukaipata.

Kenyan TV - TV from Kenya.

Webu hiyo hapo juu utajionea nchi ambazo mbali ya nyingine ambazo ni masikini kuliko Tz wanatoa streaming (live) ,hivi hapa Tz wenye mitambo ya TV wanatatizo gani ,maana hata hizo zilizoamua huzioni mpaka kuwe na jambo la udaku ndio utaziona zipo mbioni kurusha live streaming ,Channel hii iiliyopata kazi ya kujiita SuperBrand ndio kabisa haijambo Star TV wanayo streaming nao mpaka wakumbuke kuweka ON ,ndio utaona manyago yao mdomo unamaliza kufumba sauti ndio inaanza kutoka ,yaani kama wanalipia basi wahakikishe matangazo yao yanatoka mazuri and clear ,tembeleeni KTN hapo juu muone utafikiri ni 3D.

Sidharau lakini naonea gere wengine ,WaTz walio nje na hapa wanatamani Tv zao za nyumbani ziwe na live streaming za kuaminika zisizotetereka ,siitegemei TBC kwani inaendeshwa na mafisadi hivyo ,haipewi hata ruhusa kutangaza habari za ndani live itakuwa za streaming ,zaidi ni kwa hawa ITV ambao wamekuwa kama kioo cha mambo ya ndani ya Tanzania na hata Channel5 nayo ipo poa kabisa inafaa wenzetu wawe na njia za kisasa kuweza kuziona huko majuu.

Ningeliwataka wahusika walitupie macho suala hili kwani tunakwenda na wakati.

K24

CapitalKBC TV

​

Citizen TV

NTV

OTHER VIDEOS »

FEATURED CONTENT »

si ufungue live streaming ya cloudstv uangalie maana na wao ni superbrand
 
Hawa cloeds wao sidhani kama ni watu wa habari na maelezo naona inaboa tu kwani majimbo na ngoma :A S-rap:
 
Back
Top Bottom