ITV shida nini?

ITV shida nini?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,252
Le super brand Afrika Mashariki. Nini kimekutokea? Wewe tunayekutegemea kwa habari za hakika. Mbadala wa tbc, leo mitambo yako haina viwango. Satelait zako vipi? Zinahujumiwa? Leo hii kweli naangalia taarifa ya habari lakini nalazimika kubadili stesheni kutokana na taarifa na vipindi kukatikakatika?

Nikadhani basi ni mimi pekee (natumia dstv) lakini nikicheki stesheni zingine ziko smooth kabisa. Hakika kama ni kwa wote hii hali inatokea basi mjitafakari sana. Hii stesheni mnaenda kuimaliza na kuipoteza. Na nitashangaa kama mtarudi na slogan yenu ya Le super brand
 
Changamoto kawaida ktk mambo kama hayo...
Ubaya ikiwa ni ya kujirudia kila siku...

Itv wako kwny low orbit ya satelite kwahyo somethng may happen hasa ktk hari ya mawingu kama leo..
 
Itakuwa mitambo imeanza kuchoka,halafu bado wanajiita Superbrand Africa mashariki...
 
Le super brand Afrika Mashariki. Nini kimekutokea? Wewe tunayekutegemea kwa habari za hakika. Mbadala wa tbc, leo mitambo yako haina viwango. Satelait zako vipi? Zinahujumiwa? Leo hii kweli naangalia taarifa ya habari lakini nalazimika kubadili stesheni kutokana na taarifa na vipindi kukatikakatika?

Nikadhani basi ni mimi pekee (natumia dstv) lakini nikicheki stesheni zingine ziko smooth kabisa. Hakika kama ni kwa wote hii hali inatokea basi mjitafakari sana. Hii stesheni mnaenda kuimaliza na kuipoteza. Na nitashangaa kama mtarudi na slogan yenu ya Le super brand
Yaani hivyo ndivyo infact ni IPP Media zote, zinakatakata DStv
 
Changamoto kawaida ktk mambo kama hayo...
Ubaya ikiwa ni ya kujirudia kila siku...

Itv wako kwny low orbit ya satelite kwahyo somethng may happen hasa ktk hari ya mawingu kama leo..
Pawepo na mawingu au la, wao ni kukatika tu
 
Nikajua ni kwangu tu!,kumbe ni tatizo la mitambo yao!,labda wakiona maoni kama haya ndo watashtuka!
 
Le super brand Afrika Mashariki. Nini kimekutokea? Wewe tunayekutegemea kwa habari za hakika. Mbadala wa tbc, leo mitambo yako haina viwango. Satelait zako vipi? Zinahujumiwa? Leo hii kweli naangalia taarifa ya habari lakini nalazimika kubadili stesheni kutokana na taarifa na vipindi kukatikakatika?

Nikadhani basi ni mimi pekee (natumia dstv) lakini nikicheki stesheni zingine ziko smooth kabisa. Hakika kama ni kwa wote hii hali inatokea basi mjitafakari sana. Hii stesheni mnaenda kuimaliza na kuipoteza. Na nitashangaa kama mtarudi na slogan yenu ya Le super brand
Tatizo la kuzimazima halijaanza leo, lina muda mrefu. Redio One nayo hali ni tete, usikivu uko duni na usomaji wa taarifa ya habari ni wa mwendo wa mchakamchaka, sentenso zinaandikwa bila vituo!
 
Le super brand Afrika Mashariki. Nini kimekutokea? Wewe tunayekutegemea kwa habari za hakika. Mbadala wa tbc, leo mitambo yako haina viwango. Satelait zako vipi? Zinahujumiwa? Leo hii kweli naangalia taarifa ya habari lakini nalazimika kubadili stesheni kutokana na taarifa na vipindi kukatikakatika?

Nikadhani basi ni mimi pekee (natumia dstv) lakini nikicheki stesheni zingine ziko smooth kabisa. Hakika kama ni kwa wote hii hali inatokea basi mjitafakari sana. Hii stesheni mnaenda kuimaliza na kuipoteza. Na nitashangaa kama mtarudi na slogan yenu ya Le super brand
Hii TV station nimeifanya ya makumbusho,
 
Binafsi singependa kuona hii taasisi inashindwa. Ila inavyoonekana wanajua sema jambo liko limewazidia
 
ITV hata ile meza ya studio ya taarifa ya habari imechakaa.
 
Back
Top Bottom