ITV ni CHADEMA damu!

ITV ni CHADEMA damu!

Labda nao wanataka kuanza biashara ya gongo...

Unaandika kwa upole kama unataka kukata roho...

Pole sana mkuu.....Hiyo ndo Chadema bana...Fanya kazi yako ya U-Nurse attendance wachana na mambo ya CDM yatakupa presha bure..

Manesi hoyeeeee!!!
 
Yaani, clip ya Slaa imeonyeshwa kwa zaidi ya dakika 7, na picha zime editiwa na mtangazaji devota Minja,zikionyesha watu wanashangilia lakini si kwa hotuba ile!

Acha upotoshaji dk 7 unazijua ww?
 
Labda nao wanataka kuanza biashara ya gongo...

Kinyagi na ngongo zinatofauti gani?? Au kwa vile CCM mnatengeneza Konyagi ni poa tu.

Mwambieni Baba Ritz hiyo adhabu ya foleni kwa sisi tunaoishi Mbezi zote mbili imetosha. CCM mnatuua wtz
 
Kinyagi na ngongo zinatofauti gani?? Au kwa vile CCM mnatengeneza Konyagi ni poa tu.

Mwambieni Baba Ritz hiyo adhabu ya foleni kwa sisi tunaoishi Mbezi zote mbili imetosha. CCM mnatuua wtz

umeshalewa,sio "kinyagi" ni konyagi.
 
Leo Mzee wa gongo alikuwa na kauli mbiu ipi maana nilimpa ushauri sa sina hakika mrejesho wake ulikuwa vipi?
 
Picha inaonyeshwa zaidi ya habar moja ha ha ha chadomo bana noma sana
 
Back
Top Bottom