ITV na upotoshaji wa habari yadai Yanga imetwaa ubingwa 2016/2017

MPUNGA

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
838
559
Hawa jamaa wanatakiwa kubalansi habari za michezo sababu kimahesabu bado wanaowafuatia wana uwezo wa kuwa kubadilisha matokeo ingawa kiuhalisia inaweza kuwa na changamoto. Chombo kikubwa cha habari kama kinatakiwa kuwa na weledi jadidu kwenye utoaji wa habari za michezo.
 
Bila shaka wewe utakuwa kkk! sikulaum endelea utapata uteuzi mda si mrefu.
 
Tunamfunga mwadui 13-0. Na mbao anamfunga yeboyebo . Halafu pointi tatu za kagera zinarudishwa na FIFA. Yeboyebo ubingwa hamna. TFF TANGAZENI UBINGWA WA YANGA TUWASHTAKI. Napita tu
 
ec2546e8a91ff586300a2e5ca0fa37d2.jpg

Kazi kweli kweli
 
Magazeti ya kesho yatatupa taswira sahihi ya nani alikuwa Bashite hapa. Msisahau kurudi kwenye huu uzi. Unafikiri magazeti yenye weledi yataandika kuwa Yanga ni Bingwa?
 
Hawa jamaa wanatakiwa kubalansi habari za michezo sababu kimahesabu bado wanaowafuatia wana uwezo wa kuwa kubadilisha matokeo ingawa kiuhalisia inaweza kuwa na changamoto. Chombo kikubwa cha habari kama kinatakiwa kuwa na weledi jadidu kwenye utoaji wa habari za michezo.
Kwa niaba ya vyombo vyote vya IPP media group... tunaomba radhi kwa taarifa yetu ilioonesha kuwakera wana msimbazi kwamba yanga imetwaa ubingwa.... si kweli jambo hilo kwani simba ana ndoto za kuifunga mwadui goli 11 baada ya kupewa pesa na wazamini wapya. pia tunawaomba TFF na watanzania kwa ujumla kuendelea kuiombea mwakilishi wa timu ya simba huko FIFA wafanikiwe maana wanaiwakilisha nchi kimataifa hasa huko fifa kwa hivi sasa....
Mungu ibariki tanzania mungu ibariki simba
 
Back
Top Bottom