ITV na Miaka 52 Ya Uhuru wa Tanganyika

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Katika kile kinachooneka kuwa ni muendelezo wa wa Tanganyika kuchoshwa na jina bandia la nchi yao "Tanzania Bara"
Leo ITV kwenye correspondence zake zote za Habari ya miaka 52 ya uhuru wametumia jina la nchi yetu,Tanganyika.
Kuanzia kwenye headline Mpaka Kipima joto ni "Miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika" mwanzo mwisho..
Nimefarijika sana usiku wa leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom