Kwa nini wakati wizi huo wa lile zulia unafanyika Barrick walikaa kimya tena kwa muda mrefu tu! Hawakujua madhara yake na hivyo kuwatahadharisha watu.Alichoripoti Steven Chuwa ni cha ukweli kabisa. Mimi nilikuwa huko wiki 2 tu zilizopita, lile "jamvi" ni kweli lilichukuliwa na wananchi wanaozunguka mgodi huo na wameezekea nyumba zao na hivyo kufanya maji yatiririke kwenda mto Tigite na sehemu zingine. Hebu na sisi kabla ya kutoa lawama, tuwaelimishe wananchi madhara ya kuiba jamvi lile linalozuia maji kutiririka. Muulize Afisa Uhusiano wa mgodi Ndugu Masanda Omutima ambaye ni mzaliwa halisi wa Nyamongo atakueleza ukweli wala hana cha kuficha.
Pamoja kwamba inatia uchungu kuona wananchi wamepata madhara ya kiafya, lakini ni matokeo ya wachache wao kuwa na tamaa ya kujichukulia mali zisizo zao na ambazo ziko pale kwa ajili ya kulinda afya zao ndiyo maana wakadhurika. Mgodi haujawashitaki wananchi wahusika ambao lile jamvi linaonekana katika mapaa ya nyumba zao na wengine wamefanya uzio katika mazizi yao ya ng'ombe na hivyo kuwaachia Serikali ya kijiji ishughulike nao. Wao wanaendelea na kazi ya kutandika jamvi jingine kuzuia uvujaji wa maji.
ITV imeleta hali halisi ya mambo yalivyo. Tusitake kupotosha umma.
Alichoripoti Steven Chuwa ni cha ukweli kabisa. Mimi nilikuwa huko wiki 2 tu zilizopita, lile "jamvi" ni kweli lilichukuliwa na wananchi wanaozunguka mgodi huo na wameezekea nyumba zao na hivyo kufanya maji yatiririke kwenda mto Tigite na sehemu zingine. Hebu na sisi kabla ya kutoa lawama, tuwaelimishe wananchi madhara ya kuiba jamvi lile linalozuia maji kutiririka. Muulize Afisa Uhusiano wa mgodi Ndugu Masanda Omutima ambaye ni mzaliwa halisi wa Nyamongo atakueleza ukweli wala hana cha kuficha.

ni jukumu lao kuweka ulinzi around maeneo hayo, maana hao wachache ambao wameiba kama wangedhibitiwa kabla hawajaiba madhara yasingewakuta watu wengi ambao hawahusiki na wizi huo. hapa hakuna cha kutetea, wawe responsible and thats it. huyo masanda o0mutima unaemsema si mzaliwa wa tarime, ni mjita huo na yeye anachosema kwangu mimi hakina uzito maana ni mwajiriwa wa barick ambaye atafanya chochote ili kutetea unga wake, the same kwa yule afisa uhusiano mwingine nani sijui aliyekuwa anatetea kwa nguvu kwamba madhara yale hayajaletwa na barick. Sasa hata wewe ndo wale walewale vibaraka wa barick hamjali madhara kwa binadamu, mifugo wala mazingira as long as mnapata milion 1.30 kwa mwezi huku dhahabu yote inaenda ulaya, what a shame.Alichoripoti Steven Chuwa ni cha ukweli kabisa. Mimi nilikuwa huko wiki 2 tu zilizopita, lile "jamvi" ni kweli lilichukuliwa na wananchi wanaozunguka mgodi huo na wameezekea nyumba zao na hivyo kufanya maji yatiririke kwenda mto Tigite na sehemu zingine. Hebu na sisi kabla ya kutoa lawama, tuwaelimishe wananchi madhara ya kuiba jamvi lile linalozuia maji kutiririka. Muulize Afisa Uhusiano wa mgodi Ndugu Masanda Omutima ambaye ni mzaliwa halisi wa Nyamongo atakueleza ukweli wala hana cha kuficha.
Pamoja kwamba inatia uchungu kuona wananchi wamepata madhara ya kiafya, lakini ni matokeo ya wachache wao kuwa na tamaa ya kujichukulia mali zisizo zao na ambazo ziko pale kwa ajili ya kulinda afya zao ndiyo maana wakadhurika. Mgodi haujawashitaki wananchi wahusika ambao lile jamvi linaonekana katika mapaa ya nyumba zao na wengine wamefanya uzio katika mazizi yao ya ng'ombe na hivyo kuwaachia Serikali ya kijiji ishughulike nao. Wao wanaendelea na kazi ya kutandika jamvi jingine kuzuia uvujaji wa maji.
ITV imeleta hali halisi ya mambo yalivyo. Tusitake kupotosha umma.
... lile "jamvi" ni kweli lilichukuliwa na wananchi wanaozunguka mgodi huo na wameezekea nyumba zao na hivyo kufanya maji yatiririke kwenda mto Tigite na sehemu zingine.
Pamoja kwamba inatia uchungu kuona wananchi wamepata madhara ya kiafya, lakini ni matokeo ya wachache wao kuwa na tamaa ya kujichukulia mali zisizo zao na ambazo ziko pale kwa ajili ya kulinda afya zao ndiyo maana wakadhurika.