ITV na kipindi cha spoti kizaazaa

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,594
447
Nakubali kuwa kipindi hiki kina umuhimu wake katika kuendeleza na kujadili michezo mbalimba nchini, lakini kinachonikera na kunifanya kupata kizaazaa ni wale wanaoshiriki katika vipindi hivyo, kwa kweli uchangiaji wao, ni mwepesi na hauna mvuto tena, binafsi nawashauri waandaaji wa kipindi hiki kufanya ubunifu na kutafuta watu wengine kuwezesha kipindi kiwe na mvuto na maana halisi maana sura ni zile zile hawana jipya, na nina wasiwasi na kama watu hao wanashughuli maalum mjini au kazi yao ni mdomo, au niulize ni watu gani na wenye sifa zipi wanastahili kuendesha kipindi hiki
 
Back
Top Bottom