Jamani kwa wale tunaofuatilia ISIDINGO THE NEED imefika pazuri - Yaani Katlego ananifurahisha anavyomdindia Jeff, hadi ukorofi wake unapoa yaani hizi turns za isdingo haziachi kunishangaza ukifikiri jambo fulani linafika mwisho ndiyo kwanza linaanza kwa mfano nilishahesabu Katlego out, sasa kaja na mkakati mpya nimempenda, komaa mama mpaka kieleweke!
asiye angalia isidingo ni looser.
nimeona msimamo wa caitlin kumjibu bosi wake kuwa hataacha tabia zake yaani nimependa confidence ya aina ile.
ila katlego duh!!!!
Sasa nayeye kwanini aliigiza kufa ndiposa kafa kiukweli mi sipendi si mnajua kanumba aliigiza kufa sijui na yakamkuta.RIP let matabane ila nimemuona kwenye igizo jana anaumwa hoi
Na plot zao zote zinafanana huyu kapoteana na mama yake/dada/kaka ilihali wanaonana na ni mahasimu bila kujua kama wao wanauhusiano wa damu .michosho mitupu wacha tujisidingo kwa raha zetu!
Mimi huwa naangalia marudio ya wiki, this time ITV walichemsha!, marudio ya wiki walirudia episodes 4 za last week na episode moja ndio mpya, ile ya Cathlego akimkomalia mdingi, nimmesikitika sana ku miss last week.