ITV na isidingo the need???


naingalia hii kila siku na kuna ingine inaitwa rythm city, soap za south africa nzuri sana....zinagusa angle zote za maisha kazi,biashara,shule,crime,high life,low life yaani ni maisha halisi ya kila siku.....za kifilipino siwezi hata kuangalia dakika kumi kwasababu ni mapenzi mapenzi na mapenzi.
 

Sawa kabisa,kumbe na wewe unaangalia Channel za nje.hawa wanaobaki tu kuangalia local channel ndio wanashangaa kuona tamthilia za style ya Isidingo
 
Isindingo inaelimisha sana. Ipo kuelezea maisha ya kwenye migodi na hali ya maambukizi ya ukimwi. Hatua iliyopo sana ni Jeff kumtariki mkewe, Katilego, kwa kosa la kuzini na kaka wa Jeff, Lincolin, ambaye ndo mmiliki wa mgodi, Sibeko Gold. Kwa kweli ni tamithilia inayoelimisha na kuvutia.. Huwa siikosi..
 
Kama ya leo ni nzuri sana natamani kesho ifike nione nini kitaendelea kwa katlego na calvin
 
nampenda Lerato anayoumwa cancer nataman hadi kulia........ ni makeke fulan sa hivi kapoa huyooo

Mimi tu ile rafudhi yake napenda sana umkute anabishana na tshaba utapenda! Kiukweli ana makeke balaa.
 
Tvs zetu nyingi mchokoooo!ndio maana ukitaka habari za kinaza bongo inakubidi tune ZBBC swahili jioni!
 

hii ni ishara ya uvivu wa kufikiri, ndiyo maana uapenda vitu rahisi rahisi - isidingo haina mfano wake hata wenye shida ya lugha wanaikubali
 

Wale wanaoangalia etv kuna nyingine nayo inaitwa the "Young and the Restless" nayo haiishi
 
Tamthilia ya tangu mwaka 1995 mpaka sasa zaidi ya miaka 20.kweli kama naangalia ITV ukifika mda wa isidingo huwa nahamia channel nyingine.tumeichokaaaa

ha ha ha ha ha! siyo kwamba na wewe ni mchovu?
 

isidingo ni bonge la tamthilia, hamna kama hiyo, nina mpango wa kutafuta inverter hom ili hata tanesco wakikata umeme niendelee kuona.
sipendi kuikosa hata siku moja
isidingo ina wapenzi wengi sanaaaaa,wewe hiyo research yako sjui umeifanyia wapi.
kwanza ina gusa maisha ya kila aina na uzuri wake ni kwamba kila linapoisha tukio flani linakuja lingine.
kwa kweli haichoshi hata kidogo.
kitu kama ww hukipendi waachie wanaokpenda waendeelee kupata raha wewe usubiri chako unachokipenda.
 
kweli kuna watu na viatu, huyu mleta mada ushuzi wa futuhi kwake ndio wa maana.
 
Watoto wanapenda vitamthilia vya kifilipino aangalie mwezi mmoja miwili,huku wanaigiza maisha yasiyo ya uhalisia...ni mapenzi tu..
 
Watoto wanapenda vitamthilia vya kifilipino aangalie mwezi mmoja miwili,huku wanaigiza maisha yasiyo ya uhalisia...ni mapenzi tu..

Wanapenda wakina Ina na Christian hamna reality kwenye tamthilia za kifilipino wanaliaa na unaweza predict whats next,,
Isidingo bana ndo yenyewe you can relate to our african lives,Mpaka nimepata kahela kangu kibajaj nimeka weka chata ISIDINGO..
Pia Kuna zinazoonyeshwa Etv Generations na Backstage ebana wee,Natamani kwenda kwa madiba nikawaombe hao madirector autograph..
Viva ISIDingo...............................
 
hii ni ishara ya uvivu wa kufikiri, ndiyo maana uapenda vitu rahisi rahisi - isidingo haina mfano wake hata wenye shida ya lugha wanaikubali

Kwa jinsi nnavyoipenda Isidingo hawezi mtu akaniambia nifanye nae appointment ya saa moja na nusu,maana huo mda nimeshika remote kuweka ITV tu,Na siku hizi hadi subtitle zipo kwa msaada wa lugha..
Horizon Deep..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…