Exaud Mamuya
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 403
- 243
Katika hali ambayo imenishangaza ni vituo hivi vya habari yaani ITV na Channel 10 kutoonyesha habari za press iliyoitishwa na Chadema makao makuu kuhusiana na sakata la katibu wa Chadema kanda maalumu ya Dar es salaam bwana Henry Kileo pamoja na makamanda wengine wanaoshikiliwa na polisi kwa wanachodai kummwagia kada wa ccm tindikali. Imenishangaza sana kuona habari hii ikirushwa na kituo cha Star tv peke yake.
Angalizo langu katika vyombo hivi vya habari ni kwamba wajitathmini na kufanya kazi zao kwa uhuru pasipo kukubali mashinikizo ya ccm na vyombo vyake la sivyo tutavisusia kama ilivyo kwa TBC.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mungu endeleakuwapa Mwanga na busara zaidi STAR TV.....Mungu anajua wapi awaanike wanafiki ..Kwani STAR TV iko kiataifa zaidi....
pelekeni CHADEMA TV iripoti.Mkuu heshima kwako,
Sijawahi kujiuliza sana kuhusu Channel 10, lakini ITV wameanza kunitumbukia nyongo tangu ile siku ya Juni 15, wakati bomu limelipuka Arusha wao hawakuipa hiyo habari kipaumbele. Ilitangazwa kama habari ya katikati (siyo kama breaking news ama taarifa ya kwanza), na alisoma tu Albert Nitwa kwa sentensi moja. Hapakuwa hata na mwandishi wa habari wa ITV kutujuza zaidi, wala hata kuhoji (hata kwa simu tu kama hali haikuruhusu mwandishi kuwepo sehemu ya tukio) kutoka kwa mashuhuda kama hawakuweza kumpata kiongozi yeyote kwa wakati ule. Ikumbukwe wakati huo walikuwepo waandishi wa habari kadhaa wakifuatilia kampeni za uchaguzi pamoja na kina Asraji Mvungi ambao ni watangazaji wa ITV walioko Arusha.
Labda wanaogopa kutia kitumbua mchanga...
Kwani ni lazima ionyeshwe?kama kuna habari za muhimu kuliko hiyo?
Alafu watu wanapokukataa usiishie kuwalaumu bali jitafakari mwenyewe kwanini watu hawakutilii maanani?
msitake kilamfanyalo lisemwe na kila chombo cha habari,kwni mnahisa?
kuna wakati walikua wanaisifu ch 10, sasa nayo ni ccm.kesho nayo mtaiona haina maana.
kuna wakati walikua wanaisifu ch 10, sasa nayo ni ccm.
Dah, ukiona chama kinakimbiwa na vyombo vingi vya habari basi ujue kuwa mwisho wao umekaribia. Nawashauri chadema waanzishe vituo vya kwao vya tv na si kuishia kwenye youtube tuMkuu heshima kwako,
Sijawahi kujiuliza sana kuhusu Channel 10, lakini ITV wameanza kunitumbukia nyongo tangu ile siku ya Juni 15, wakati bomu limelipuka Arusha wao hawakuipa hiyo habari kipaumbele. Ilitangazwa kama habari ya katikati (siyo kama breaking news ama taarifa ya kwanza), na alisoma tu Albert Nitwa kwa sentensi moja. Hapakuwa hata na mwandishi wa habari wa ITV kutujuza zaidi, wala hata kuhoji (hata kwa simu tu kama hali haikuruhusu mwandishi kuwepo sehemu ya tukio) kutoka kwa mashuhuda kama hawakuweza kumpata kiongozi yeyote kwa wakati ule. Ikumbukwe wakati huo walikuwepo waandishi wa habari kadhaa wakifuatilia kampeni za uchaguzi pamoja na kina Asraji Mvungi ambao ni watangazaji wa ITV walioko Arusha.
Labda wanaogopa kutia kitumbua mchanga...
Enzi zenu hata akina chiluba zambia walikuwa wanatamba baada ya kuondoka wakalisoma jiji,inajulikana vyombo vyote munavidhibiti lakini ndio kama hivyo mitandao ipo na watu wanajua kwamba munaendekeza propaganda kaka yana mwisho tamba leo kesho majutoDah, ukiona chama kinakimbiwa na vyombo vingi vya habari basi ujue kuwa mwisho wao umekaribia. Nawashauri chadema waanzishe vituo vya kwao vya tv na si kuishia kwenye youtube tu