ITV na CHADEMA

ITV na CHADEMA

Ukisema amenusurika kifo..unamaanisha kwamba Sugu anathamani kubwa kuliko huyo mtoto aliyekufa...habari kubwa hapa ni kifo cha mtoto na siyo kunusurika kwa sugu
We unashangaa mbunge kuwa nathaman wakati Faru John ana thaman kuliko watu saba
 
f7435447ffa9bab2372f63cb4130d11a.jpg
Shida ya hiyo Tv ndio hiyoo. Hata waandishi wana mahaba kupitiliza. Kwanza huyo alitakiwa awe selo! !angekua rais wa kawaida angekua anaozea mahabusu saa hii. Hayo ndio maajabu mengine ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Usalama kwao ni kwa waheshimiwa si kwa raia wa kawaida, ndio maana ukiwaita kwenye matukio wanakwambia uwaletee gari!
 
Ni aibu mbunge aliyenusurika kupewa uzito wa juu kuliko.mtoto aliyegongwa na gari tena kwenye zebra
 
Na hiyo mashine iliyofeli breki iliweza kusimama vizuri tu baada ya kukimbizwa na boda boda, na ikaweza kurudi eneo la ajali na kusimama vizuri tu....breki za ajabu sana hizi wallahi.
Yaelekea huna hata ABC za udereva gari usipokanyaga mafuta obvious itaslow down unaweza simamisha gari hata kwa gear!
 
Yaelekea huna hata ABC za udereva gari usipokanyaga mafuta obvious itaslow down unaweza simamisha gari hata kwa gear!
Ni mpumbavu tu ambaye ataendesha gari isiyo na breki baada ya kusimama, unarudi na gari isiyo na breki na kubeba nayo majeruhi....
Ndugu yangu ama wewe au huyo 'dereva' ndo hamjui ABC za udereva.
Hii story haiungi....fungua macho na akili zako wewe unayejiona dereva unayejua ABC.
 
Unaelewa maana ya kufeli brake? Hilo povu sio bure umebeba sumu kali na umejiandaa kutolewa hivyo hutaelewa kamwe!
 
Unataka waandishi wawe na elimu kubwa wakati wew akili zako ni afadhari za mbuzi
 
Taarifa ya ITV kupuzia aliyekufa na kumpa kipaumbele aliyenusurika
Na paragraph ya Tatu umeandika mwenyewe au umeandikiwa? Vyombo vya usalama vinamshikiria dereva. Sasa Dereva anashikiliwa kwa lipi? Au kwasababu hakuwa kwenye Gari?
 
Kama itv ni chadema tbc,star tv ni chama gani? Naomba kujuzwa . Gazeti ya tanzania daima inasomwa starts asbhi? Is kwa nini uhuru husomwa zaidi kuliko magazeti mengine startv?
 
Huyu kada huwa ana ulemavu wa akili anaongozwa na mahaba ya tumbo sana,hajitambui.
 
Back
Top Bottom