ITV na CHADEMA

ITV na CHADEMA

Mhhhhh we mleta mada mkuda tuuu aliekua anaendesha sio Sugu acha mambo yako,ukiambiwa mausha magumu unakataaa ona unavyochanganyikiwaaa mapema hiii na mbado utaisoma namba vzuri
 
tafuta uhakika kama ni sugu na upate report ya usalama barabaran ndo uje na malalamishi yako
 
f7435447ffa9bab2372f63cb4130d11a.jpg
duh mleta mada yawezekana ana ZIKA, ana ushahidi gani na maneno haya " sugu ameua, Sugu amekatisha uhai wa mtu kwa uzembe ". ama kweli NIMR wako sahihi.
 
...ajali ni ajali kwa muhanga wa ajali. ..lkn uttering wa mfanyishaji ajali usitufanye tukawa mazuzu ktk kutafuta ri. ...kwa nini " gari in a you huduma mbunge ifeli breki? Kabla ya tukio la kufeli breki walitakiwa wapi? Walipita wapi na kwa spidi gani? Baada ya kumgonga msichana gari ilikwenda umbali gani na kwa spidi gani? Ilikata kona? Ngapi? Ilikatiza ktk makutano ya barabara? Mangapi? ...abiria atakuwa shahidi mzuri ama wa marehem au Dereva wake. ...mambo kwa pilato!

eti jamaa anadai gari ilifelibrake , wakati gari wala haina hilo tatizo labda brake ilikatika halafu baada ya kugonga ikaunga
 
Hata kama alikuwa haendeshi yeye lakini kwanini dereva hajawekwa ndani kama wanavyofanyiwa madereva wengine? Kuna jambo kati ya Cdm, Polisi na ITV.
usitulazimishe tuamini kwamba your shallow in deed when it comes to reasoning
 
Dah! mtoto wa watu wamekatisha ndoto zake,inasikitisha sana.
 
Ilo ni tatizo la kucopy na kupest vitu bila kusoma umepost mwenyewe alafu unasema wapi nilipo mtaja sugu
 
Hata kama alikuwa haendeshi yeye lakini kwanini dereva hajawekwa ndani kama wanavyofanyiwa madereva wengine? Kuna jambo kati ya Cdm, Polisi na ITV.
Ajali ni ajali labda we hujawahi kuendesha chombo cha moto barabarani. Na ndio maana ma Traffic (police) waliokuwa wanawahi ajali hiyo nao walikula mzinga.

ITV haiwezi kuingia kwenye moyo wa kila mTz kutangaza anavyotaka !!. Jambo la kuhuzunisha nikuwa marehemu alikuwa yatima
 
mtoapost ajari ni ajaritu hatawengi walisha kufa kwa jari. si wakwanza huyo waaachie police kazi yao acha kushadadia mambo... hivi mfano gari kipinz chako magufuli ikonga na kuua hakafu waandishi wakaripoti kama walivyo ripoti kwa gari yasugu utaandikaje posti yako?
 
Hisia na mapenzi yamechanganyika, ukigonga umeua haijalishi nini.
 
Eti Gari ilikatika Breki...... Lakini baada ya kumgonga mtoto Gari ikasimama.... Duh kama ni kweli huyu mtoto atakuwa zaidi ya mti..... Haya Maigizo yenu ujue Mungu anawaona...
 
Kwahiyo hapa kero yako ni nini haswa?

Mkuu;
Kero yake alitaka mwandishi aseme hivi, Mwanafunzi agongwa na kufa papo hapo na gari iliokuwa inaendeshwa vibaya sana na mbunge wa Mbeya mh Sugu akiwepo. Bahati mbaya sana mh Sugu hakufa tu kwa ajali hiyo.
 
Hili liugonjwa linakanushwa tu lakini limeshaanza kutuathiri muda mrefu kama huyu mleta uzi ni mmojawapo wanaotakiwa kufanyiwa utafiti wa hilo gonjwa haeleweki kilichomsukuma kuleta huu uzi
 
Back
Top Bottom