Kweli mkuu kweli awa waandishi uchwara
Kama ni uchwara wewe kwanini unasoma magazeti yao
Kweli mkuu kweli awa waandishi uchwara
Soma tena post yako utagundua kuwa mwandishi unayemlaumu ni bora million times kuliko wewe ...Sijaongelea sugu post yang inahusianaje ITV
Imetangazwa sababu ya huyo aliyenusurikaTaarifa ya ITV kupuzia aliyekufa na kumpa kipaumbele aliyenusurika
hebu angalia hii, halafu uache UNAA.
Taarifa mpasuko (breaking news) mmbwa ww,hata CNN/ALJAZEERA/BBC hutoa taarifa za awali kabla ya habari yenye report kamilNa kwanini atangaze ambayo haijakamilika?
Ni kweli sugu ndio amebeba habari.....Hakuna sababu ya kuwalaumu ITV.. Nafikiri sugu kwa wadhifa alionao ndio ameibeba habari!
Ni ujinga tu unaweza kumfanya mjinga awalaumu ITV eti wana uchadema kisa wamewasilisha kunusurika kwa "mbunge" kabla ya kifo!
Na hiyo mashine iliyofeli breki iliweza kusimama vizuri tu baada ya kukimbizwa na boda boda, na ikaweza kurudi eneo la ajali na kusimama vizuri tu....breki za ajabu sana hizi wallahi.Sugu alikuwa abiria kwenye hii ajali ingawa yeye ndie mmiliki wa gari.
Dereva wake alijaribu kusimama kwenye zebra ili yule mtoto yule avuke barabara pale kwenye zebra lakini ndio ivyo tena breki zikafeli ajali ikatokea.
Hilo linaweza kumtokea mtu yeyote na ukumbuke gari ni kama mashine sometimes mashine inafeli kwasababu mbalimbali.
Hili sio swala la mahaba ya chama.
Una maana gani kusema Sugu amekatisha uhai wa mtu?Sijaongelea sugu post yang inahusianaje ITV
Acha upumbavu,thibitisha ukisemachoHalafu kasingizia alikuwa ni dereva
Wakati mwingine sio lazima uanike ujinga wako!Siku zote tunajua madereva wakisababisha ajali kwa uzembe huwa wanakimbia hasa kifo kinapotokea!Sasa ni dereva gani huyo bwege anayeweza kukubali kuitwa kuja kupewa kesi ya mauaji?leta ushahidi kuwa sugu alikuwa abiria.sugu alikuwa peke yake ndio maana alikimbia,akaenda kumwita Driver
Umejuaje kama kuna mtu amekufa?Au ulisikia sehemu tofauti na ITV?Taarifa ya ITV kupuzia aliyekufa na kumpa kipaumbele aliyenusurika
Duuuuh,una uhakika gani kama hajashikiliwaHata kama alikuwa haendeshi yeye lakini kwanini dereva hajawekwa ndani kama wanavyofanyiwa madereva wengine? Kuna jambo kati ya Cdm, Polisi na ITV.
Huo ni upotoshaji,hebu angalia hiyo clip!Ukisema amenusurika kifo..unamaanisha kwamba Sugu anathamani kubwa kuliko huyo mtoto aliyekufa...habari kubwa hapa ni kifo cha mtoto na siyo kunusurika kwa sugu
Kwa hiyo dereva alikimbia akiwa na muheshimiwa? Maana gari ilikimbizwa na boda boda,muheshimiwa alimuachaje dereva avunje sheria?Wakati mwingine sio lazima uanike ujinga wako!Siku zote tunajua madereva wakisababisha ajali kwa uzembe huwa wanakimbia hasa kifo kinapotokea!Sasa ni dereva gani huyo bwege anayeweza kukubali kuitwa kuja kupewa kesi ya mauaji?
Mara baada ya ajali,watu walijaa pale!Ina maana hao watu hawakuona dereva ni nani?Eti mpaka mtu aitwe ndio aje afike eneo la tukio ndio aingie kwenye gari iliyopata ajali halafu ndio atoke kwamba ni dereva!
Utajua mwenyewe,dereva anashikiliwa na jeshi la polisi!Kama una chuki binafsi,jinyonge!Kwa hiyo dereva alikimbia akiwa na muheshimiwa? Maana gari ilikimbizwa na boda boda,muheshimiwa alimuachaje dereva avunje sheria?
... Well na wewe weka ushahidi kwamba alikuwa ana driveleta ushahidi kuwa sugu alikuwa abiria.sugu alikuwa peke yake ndio maana alikimbia,akaenda kumwita Driver