ITV na CHADEMA

ITV na CHADEMA

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
1,984
Reaction score
1,409
f7435447ffa9bab2372f63cb4130d11a.jpg
 
Sugu alikuwa abiria kwenye hii ajali ingawa yeye ndie mmiliki wa gari.

Dereva wake alijaribu kusimama kwenye zebra ili yule mtoto yule avuke barabara pale kwenye zebra lakini ndio ivyo tena breki zikafeli ajali ikatokea.

Hilo linaweza kumtokea mtu yeyote na ukumbuke gari ni kama mashine sometimes mashine inafeli kwasababu mbalimbali.
 
leta ushahidi kuwa sugu alikuwa abiria.sugu alikuwa peke yake ndio maana alikimbia,akaenda kumwita Driver
 
Sugu alikuwa abiria kwenye hii ajali ingawa yeye ndie mmiliki wa gari.

Dereva wake alijaribu kusimama kwenye zebra ili yule mtoto yule avuke barabara pale kwenye zebra lakini ndio ivyo tena breki zikafeli ajali ikatokea.

Hilo linaweza kumtokea mtu yeyote na ukumbuke gari ni kama mashine sometimes mashine inafeli kwasababu mbalimbali.
Hahahaha Angekuwa Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi ITV ingeshikia bango kifo cha Yule mtoto tungekomaje
 
Hakuna sababu ya kuwalaumu ITV.. Nafikiri sugu kwa wadhifa alionao ndio ameibeba habari!

Ni ujinga tu unaweza kumfanya mjinga awalaumu ITV eti wana uchadema kisa wamewasilisha kunusurika kwa "mbunge" kabla ya kifo!
 
Back
Top Bottom