ITV, pamoja na hilo kosa walofanya, wanakubalika mara 100 ukilinganisha na TV nyingine kama.vile TBC na Channel 10.Leo ITV imeonyesha tendo la ajabu sana ndiyo sababu watu wengine tunaamua kuangalia tv za nje tu.
Haiwezekani tv ambayo imasema kuwa ni super brand afrika mashariki ifanye mambo kwa kukurupuka bila ratiba .
Nilikuwa naangalia Al jazera tv kupitia itv gafla saa 6.15 wanakatiza matangazo na Kurusha matangazo ya mshindi wa Bahati nasibu, kwanini wasisubiri kipindi cha Habari za dunia Al jazera tv kiishe warushe hio Habari ya bahati nasibu ?
Sawa bahati nasibu inawaangizia ela lakini haikuwa breaking news wangetafuta muda mungine Hata baada ya Habari Al jazera wakarusha matangazo yao.
Jaribuni kuendesha vipindi vyenu kwa ratiba !
Ndiyo ila Kama hujalipia kufurushi haupati matangazoAl Jazeera news si ina channel yake pekee?
HakikaITV, pamoja na hilo kosa walofanya, wanakubalika mara 100 ukilinganisha na TV nyingine kama.vile TBC na Channel 10.
Nenda kadhamini kipindi kimoja wapo hapo ITVLeo ITV imeonyesha tendo la ajabu sana ndiyo sababu watu wengine tunaamua kuangalia tv za nje tu.
Haiwezekani tv ambayo imasema kuwa ni super brand afrika mashariki ifanye mambo kwa kukurupuka bila ratiba .
Nilikuwa naangalia Al jazera tv kupitia itv gafla saa 6.15 wanakatiza matangazo na Kurusha matangazo ya mshindi wa Bahati nasibu, kwanini wasisubiri kipindi cha Habari za dunia Al jazera tv kiishe warushe hio Habari ya bahati nasibu ?
Sawa bahati nasibu inawaangizia ela lakini haikuwa breaking news wangetafuta muda mungine Hata baada ya Habari Al jazera wakarusha matangazo yao.
Jaribuni kuendesha vipindi vyenu kwa ratiba !
Tatizo linaanzia hapo, ni kuvumilia sasaNdiyo ila Kama hujalipia kufurushi haupati matangazo
Camera zao kwanini zinaonyesha rangi ile???Hivi hii tuzo ya USUPA BRANDI walipewa na nani?
Itv wamefilisika kila kitu, hata picha zao inaonekana bado wanatumia kamera za mwaka 98
Nina azamNunua dstv uwe unalink na aljazeera moja kwa moja