TGMT JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 379 Reaction score 514 May 6, 2019 #41 mzee74 said: Tupo mitaa ya Kinodoni Studio.Mamilioni ya watanzani wakiwamo CCM na CHADEMA wamejitokeza kumpokea.Watu ni wengi sana na mvua ni kali sana. Click to expand... Kwa mapokezi haya Jiwe atakua anatamaaani
mzee74 said: Tupo mitaa ya Kinodoni Studio.Mamilioni ya watanzani wakiwamo CCM na CHADEMA wamejitokeza kumpokea.Watu ni wengi sana na mvua ni kali sana. Click to expand... Kwa mapokezi haya Jiwe atakua anatamaaani
TGMT JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 379 Reaction score 514 May 6, 2019 #42 Jiwe hatapendwa hata akifa Dripboy said: Daaah! Ukifa ndo watu wanakupenda [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Click to expand...
Jiwe hatapendwa hata akifa Dripboy said: Daaah! Ukifa ndo watu wanakupenda [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Click to expand...
Bulamba JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 14,220 Reaction score 13,500 May 6, 2019 #43 TGMT said: Kwa mapokezi haya Jiwe atakua anatamaaani Click to expand... Ni lazima uwekeze katika mioyo ya watu ili upate mapokezi ya namna hii.Mvua ni kali sana ila watu bado ni wengi
TGMT said: Kwa mapokezi haya Jiwe atakua anatamaaani Click to expand... Ni lazima uwekeze katika mioyo ya watu ili upate mapokezi ya namna hii.Mvua ni kali sana ila watu bado ni wengi
TGMT JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 379 Reaction score 514 May 6, 2019 #44 Mioyo ya watu imejaa machungu na vinyongo asahau mapokezi ya namna hii mzee74 said: Ni lazima uwekeze katika mioyo ya watu ili upate mapokezi ya namna hii.Mvua ni kali sana ila watu bado ni wengi Click to expand...
Mioyo ya watu imejaa machungu na vinyongo asahau mapokezi ya namna hii mzee74 said: Ni lazima uwekeze katika mioyo ya watu ili upate mapokezi ya namna hii.Mvua ni kali sana ila watu bado ni wengi Click to expand...
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,693 Reaction score 24,737 May 6, 2019 #45 Dripboy said: Daaah! Ukifa ndo watu wanakupenda [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Click to expand... Mengi alipendwa toka yupo hai
Dripboy said: Daaah! Ukifa ndo watu wanakupenda [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Click to expand... Mengi alipendwa toka yupo hai
D drilling JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 4,900 Reaction score 5,077 May 6, 2019 #46 mbona kila mmoja anamsifu tu hivi alikuwa hana ubaya wowote mbona hawataji ubaya wake ni uzuri wake tu
mbona kila mmoja anamsifu tu hivi alikuwa hana ubaya wowote mbona hawataji ubaya wake ni uzuri wake tu
cheetah255 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2017 Posts 1,382 Reaction score 2,416 May 6, 2019 #47 Edward A chapa said: Mbona Clouds walikuwa wanatuonyesha wakati wa Ruge? Click to expand... Clouds sio ITV mengi ni mtu wa mzima wa heshima hajawa overrated kwa udaku udaku.
Edward A chapa said: Mbona Clouds walikuwa wanatuonyesha wakati wa Ruge? Click to expand... Clouds sio ITV mengi ni mtu wa mzima wa heshima hajawa overrated kwa udaku udaku.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,682 May 6, 2019 #48 Mbona walikuwa wanaonyesha Live