ITV MUBASHARA

Edward A Chapa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
973
Reaction score
1,394
Leo ITV mmetuboa watazamaji wenu, tulikuwa tunategemea mtatulushia Mubashara toka mwili unavyoshushwa na yanayojili mitaani Kama ilivyokuwa wakati wa Ruge lkn sivyo, Tambueni huyu ni mtu Mkubwa na watu wengi tunataka kuangalia japo tupo mbali, lkn ninyi Mmekaa tuu kwenye TV km vile malumbano ya hoja.Tunataka kuona live
 
Wajinga kweli nipo naangalia livestreming naonanwanazungumza tu studio hawaonyeshi airport. Nimeacha kuangalia
 
Kwani mwili umeshawasili? Walisoma ni leo Jumatatu ila sijaona maandalizi watanzania viungo vya DSM kumpokea
 
Washaanza kufeli kabla hata hatujamsahau mwenyekiti wao.
 
View attachment 1089663 Unataka Itv waonyeshe jinsi boss wao alivyohuzunisha? Aisee mtu alitokea VIP leo anarudi cargo tena kwa fork mpweke hana ulinzi....Dah! Kweli kifo hakina huruma!
Nafuu huyo kakatiwa ticket ya kurudishwa kwao, wengine hukosa hata nauli ya kurudishwa na huzikwa na manispaa za huko
 
My friend siku ukifa nani atakuonesha kwenye TV mbona unang'ang'ania kuona makaburi ya wenzio vip unataka kuangishiwa
 
Yaani mtu mzima na akili zako unalilia kuoneshwa maiti ya mtu mwingine usiye na uhusiano naye...dah! Aliyeturoga ana roho mbaya kshenz. Kafanye kazi fala wewe
Kama jina lako lilivyo na ndio akili yako na mawazo yako yalivyo! Yaani huwezi kujua Kuwa ofisi nyingi siku hizi kuna TV? So Unafanya kazi Huku unaangalia TV? Pole Sana hujui ulisemalo.
 
Wanaonyesha live muda huu sa hivi ndo wanafanya maombi namuona jack hapa kafumba macho kiwizi wizi nadhani ana wasiwasi kama kuna mtu anamzaba kofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…