ITV: Mfumuko wa bei ndiyo nzuri kwa uchumi kwahiyo tupo vizuri

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Itv wanakuambia mfumuko wa bei ni kitu kizuri kwa uchumi

ITV:Mfumuko wa bei ndo nzuri kwa uchumi kwahiyo tupo vizuri

Kuna Dr mmoja anaropoka ropoka hapo sahizi

Hii tv sijui imekuaje sikuhizi yaani hamna kitu kazi kusifia ujinga tu

Eti ndo superbrand east africa superbrand my foot
 
Eti ndo superbrand east africa

Hii tv imekua inalamba asali sikuhizi hamna kitu

Hawa nao anguko lao linakuja
 
Itv wanakuambia mfumuko wa bei ni kitu kizuri kwa uchumi

ITV:Mfumuko wa bei ndo nzuri kwa uchumi kwahiyo tupo vizuri

Kuna Dr mmoja anaropoka ropoka hapo sahizi

Hii tv sijui imekuaje sikuhizi yaani hamna kitu kazi kusifia ujinga tu

Eti ndo superbrand east africa superbrand my foot
Aiseh huyo tumpeleke mirembe chizi kweli
 
aliye shiba hamjuwi mwenye njaa kweli mfumuko wa bei unakuza uchumi, halafu anaye nyonywa ni mkulima tu. pembe jeo ghali, usafiri ghali, beria kila mahali na sokoni dalali hao wote wanamnyonya mkulima na bado wanampangia bei halafu angalia wao wanavyo piga bei. sokoni vizimba vyote vya uiongozi kweli tupo sawa halafu kiongozi anakuambia hama kweli mungu anawaona !.
 
Heading ungemtaja huyo Dr harafu na sehemu aliyoongea sio kuwaandika ITV Kana kwamba wao ndio wanasema ingawaje taarifa yako ipo kitungo Tata bado...
 
Sasa shida ni Dr au ITV?, wewe nawe hamnazo kama huyo Dr. wako uchwara.

Huyo Dr naye kavimbiwa.... mfumuko bei unakuwaje mzuri kwenye uchumi?

Amekariri vibaya theory.. Mfumuko wa bei ukitokea ni indicator kwamba kuna demand forces in the economy kitu ambacho kinaashiria kwamba uchumi unakuwa kwamba aggregate demand inakuwa.

Ila huwezi kusema mfumuko wa bei ni mzuri... sio sahihi hata kidogo .. arudi darasani

Kuna tofauti kubwa kati ya correlation na causation.

Mfumuko wa bei una correlation na ukuaji wa uchumi ila mfumuko wa bei is not a cause for economic growth...
 
Itv wanakuambia mfumuko wa bei ni kitu kizuri kwa uchumi

ITV:Mfumuko wa bei ndo nzuri kwa uchumi kwahiyo tupo vizuri

Kuna Dr mmoja anaropoka ropoka hapo sahizi

Hii tv sijui imekuaje sikuhizi yaani hamna kitu kazi kusifia ujinga tu

Eti ndo superbrand east africa superbrand my foot
Kwani model za uchumi zinasemaje juu ya mifumukoya bei
 
Mfumuko wa Bei si wakati wote ni Jambo baya,una kiwango,Kuna mfumuko wa Bei unaotokana na gharama za uzalishaji na mfumuko unaotokana na nahitaji(demand pull inflation),demand pull inflation ni nzuri,inaonesha aggregate demand iko poa,yaani watu Wana hela
Ni sawa kwa maelezo, ila hujajibu kuakisi hali ya sasa umedadavua theory tu
 
Itv wanakuambia mfumuko wa bei ni kitu kizuri kwa uchumi

ITV:Mfumuko wa bei ndo nzuri kwa uchumi kwahiyo tupo vizuri

Kuna Dr mmoja anaropoka ropoka hapo sahizi

Hii tv sijui imekuaje sikuhizi yaani hamna kitu kazi kusifia ujinga tu

Eti ndo superbrand east africa superbrand my foot
Ila umekisema vibaya tu chombo cha habari ..ukasahau mjenga hojamtoa hoja ni mwananchi tu aliechangia mada
 
Itv wanakuambia mfumuko wa bei ni kitu kizuri kwa uchumi

ITV:Mfumuko wa bei ndo nzuri kwa uchumi kwahiyo tupo vizuri

Kuna Dr mmoja anaropoka ropoka hapo sahizi

Hii tv sijui imekuaje sikuhizi yaani hamna kitu kazi kusifia ujinga tu

Eti ndo superbrand east africa superbrand my foot
Menejiment ya ITV ndo wametoa hiyo statement au kuna kiongozi mmoja katumia ITV kama kipaza sauti?
 
Mfumuko wa Bei si wakati wote ni Jambo baya,una kiwango,Kuna mfumuko wa Bei unaotokana na gharama za uzalishaji na mfumuko unaotokana na nahitaji(demand pull inflation),demand pull inflation ni nzuri,inaonesha aggregate demand iko poa,yaani watu Wana hela
Demand pull inflation haipo ipo hio nyingine
 
Under what circumstances inflation is good for any economy of reference? Try learn about this itakusaidia sana
 
Back
Top Bottom