ITV mbona hamjatuonyesha "clip" ya Bashe akiomba muongozo wa Spika?

Ha ha ha haaaaaaa

Nyie mtasagia meno, sisi wananchi yetu macho.
Huku mitaani hakuna mtu mwenye hama na nyie.Uzuri hata Nape kawaonya 2020 mtapata tabu sana ila kwa jinsi mlivyokewa nadaraka hamtaki hata kujirekebisha.

Time will tell.
.
 
ITV wameripoti habari ya Bashe kutaka Tume iundwe kuchunguza matukio ya utekaji yaliyotokea siku za hivi karibuni.

Cha kushangaza sijaona wakirusha clip ya Bashe akiomba muongoza huo ndani ya Bunge kitu ambacho mimi kmenishangaza kwani sikutarajia.

Kama labda mimi ndio sikuona basi alieona anisahihishe maana huenda ni macho yangu.

Shukrani sana siku hizi tuna mitandao ya kijamii maana huenda haya tusingeyajua kwa undani.
Ushaiona halafu unataka uione tena Huna kazi za kufanya?....
 
ITV wameripoti habari ya Bashe kutaka Tume iundwe kuchunguza matukio ya utekaji yaliyotokea siku za hivi karibuni.

Cha kushangaza sijaona wakirusha clip ya Bashe akiomba muongoza huo ndani ya Bunge kitu ambacho mimi kmenishangaza kwani sikutarajia.

Kama labda mimi ndio sikuona basi alieona anisahihishe maana huenda ni macho yangu.

Shukrani sana siku hizi tuna mitandao ya kijamii maana huenda haya tusingeyajua kwa undani.
Bavicha mna matatizo ya ubongo.Unalazimisha ITV waoneshe unavyotaka wewe kwani unawalipa mishahara?Anzisha TV yako upangie watu cha kuonesha
 
ITV wameripoti habari ya Bashe kutaka Tume iundwe kuchunguza matukio ya utekaji yaliyotokea siku za hivi karibuni.

Cha kushangaza sijaona wakirusha clip ya Bashe akiomba muongoza huo ndani ya Bunge kitu ambacho mimi kmenishangaza kwani sikutarajia.

Kama labda mimi ndio sikuona basi alieona anisahihishe maana huenda ni macho yangu.

Shukrani sana siku hizi tuna mitandao ya kijamii maana huenda haya tusingeyajua kwa undani.
Magu hupigia wenye vituo vya habari kuzuia habari ambayo haimfrahishi isitangazwe. huenda walizuiwa wasiitoe
 
Huku mitaani hakuna mtu mwenye hama na nyie.Uzuri hata Nape kawaonya 2020 mtapata tabu sana ila kwa jinsi mlivyokewa nadaraka hamtaki hata kujirekebisha.

Time will tell.
.

Endelea kuota na nape wako, yake yaligundulika alifikiri ana akili kupita kumbe oyooooo mdomo mrefu tu na kulialia ovyo kama vile nchi ni yake. Mtanyooka tu
 
ITV wameripoti habari ya Bashe kutaka Tume iundwe kuchunguza matukio ya utekaji yaliyotokea siku za hivi karibuni.

Cha kushangaza sijaona wakirusha clip ya Bashe akiomba muongoza huo ndani ya Bunge kitu ambacho mimi kmenishangaza kwani sikutarajia.

Kama labda mimi ndio sikuona basi alieona anisahihishe maana huenda ni macho yangu.

Shukrani sana siku hizi tuna mitandao ya kijamii maana huenda haya tusingeyajua kwa undani.
Mkuu Salary Slip ina maana mara hii tu umesahau mfumo wa kuripoti habari za bunge tangu Uchwara alipoingia madarakani chini ya uratibu wa "Mzee wa goli la Mkono " Nape Moses Nnauye ambaye leo analilia ?

Kuwa matukio yanayotokea ndani ya ukumbi wa bunge wakati bunge likiwa ktk session, yanachujwa (censored) kabla ya vyombo vya habari kupewa ili wakarushe ktk media zao iwe radio ama TV...

Ni wazi ITV wala siyo wa kulaumiwa na usitegemee jambo lolote lililotokea ndani ya bunge lenye negative image kwa serikali media zitapewa zikarushe ama kutangaza, la Bashe ni miongoni mwa hilo...

Matangazo ya bunge ni haki ya Bunge TV ama radio pekee kuyarusha, na mwisho wa siku after carefully censoring, clips hutolewa kwa ajili ya public.

Private medias haziruhusiwi kuweka/kusimika camera zao humo kuchukua matukio yoyote unless otherwise.

Ila huko nje waweza kufanya interview na mbunge yeyote na ndiyo maana kama umeangalia habari ya leo kupitia ITV channel, Mch. Peter Msigwa na wengine walihojiwa na ripota wa hiyo habari juu ya jambo lilelile....
 
Ni kweli kulikuwa na hili jambo ila mbona Millard Ayo ana hiyo clip?

Ingia Ayo tv utaona hiyo clip tena ina mpaka na muongozo wa Sugu kuhusu jambo hilo hilo la utekaji.
 
ITV wameripoti habari ya Bashe kutaka Tume iundwe kuchunguza matukio ya utekaji yaliyotokea siku za hivi karibuni.

Cha kushangaza sijaona wakirusha clip ya Bashe akiomba muongoza huo ndani ya Bunge kitu ambacho mimi kmenishangaza kwani sikutarajia.

Kama labda mimi ndio sikuona basi alieona anisahihishe maana huenda ni macho yangu.

Shukrani sana siku hizi tuna mitandao ya kijamii maana huenda haya tusingeyajua kwa undani.
hivi bashe ni nani? kwamba kila anachoongea kirushwe ITV??? Mtu ana personal issues zake na anataka kuuaminisha umma kwamba matatizo yake binafsi ni matatizo ya Tanzania yote. nonsense
 
Wauza unga wameshikwa na Magu. Wanajiteka,then wanasingizia system. Lengo lao serikali ichukiwe na wananchi.Upelelezi wa Roma utatupatia mengi.
 
ITV imeshakuwa zilipendwa.Kwa sasa ukitaka habari muhimu usisahau kununus MB vinginevyo jiandae kuona majukumu ya kawaida ya raisi na mawaziri kuwa ndio habari
 
ITV wameripoti habari ya Bashe kutaka Tume iundwe kuchunguza matukio ya utekaji yaliyotokea siku za hivi karibuni.

Cha kushangaza sijaona wakirusha clip ya Bashe akiomba muongoza huo ndani ya Bunge kitu ambacho mimi kmenishangaza kwani sikutarajia.

Kama labda mimi ndio sikuona basi alieona anisahihishe maana huenda ni macho yangu.

Shukrani sana siku hizi tuna mitandao ya kijamii maana huenda haya tusingeyajua kwa undani.
Mihemko ni kilevi kibaya kuliko madawa ya kulevya
 
Aaah wamejidhalilisha tu mbona muongozo wa Bashe tulishauona live toka mchana saa hizi huko insta ndo habari hot kila mtu karusha clip.sasa nashangaa eti ITV hawajarusha wameikata.unajua last week nilimsikiliza kipanya kwenye lile tukio la msichana aliejitupa baharini kwamba vyombo vya habari vinatakiwa vijiongeze.coz mitandao inatufanya tupate habari yoooote kabla wao hawajarusha kwenye Habari au magazeti.so itafika wakati hawa ITV wakiendeleza huu ujinga watajikuta wao wafanyakazi tu ndo wanaangalia TV yao?
Na ndio kinachotokea siku hizi watu wengi hawana mizuka na TV
 
heeeeeh wewe unataka wafungiwe nini

kweli unakichwa cha paradee umesahau kauli ya baba mwenye nyumba kama hajatoa uhuru kama
tunavyo dhani

nyege zao ziwapande alafu waonyeshe kama kesho utasikia kituo fungwa kimekiuka sheria gani sijui
 
Back
Top Bottom